kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Duh😁😁😁🙌U ajidanganya hamnaga mwanaume asiependa mbususu labda awe shoga.
Duh😁😁😁🙌U ajidanganya hamnaga mwanaume asiependa mbususu labda awe shoga.
wazo zuri sana kiongozi, mm naonaga kama ni rahisi zaidi kwa anayetoka town kufanikiwa kijijini kuliko anayetoka kijijini kufanikiwa mjini ila ni ngumu zaidi kwa aliyezaliwa/kuishi kijijini kufanikiwa akiwa apo kijijini. kila laheri.Mimi hapa mjini kushanichosha nataka kurudi huko kijijini kwenye unafuu wa maisha, huyo kijana namshauri abaki huku pagumu
Wazo zuri kiongozi shukraniwazo zuri sana kiongozi, mm naonaga kama ni rahisi zaidi kwa anayetoka town kufanikiwa kijijini kuliko anayetoka kijijini kufanikiwa mjini ila ni ngumu zaidi kwa alizaliwa/kuishi kijijini kufanikiwa akiwa apo kijijini. kila laheri.
bora ni kubaki au kwenda anakoona kutamtoa kimafanikio,akili na uamuzi ni wake mkuuShukrani kiongozi hivyo kwa kuhitimisha kijana abaki kijijini au aondoke ? unaushauri lipi bora?
Aje asijiulize mara mbili. Fursa ni nyingi sana.Habari wakuu.
Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?
Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza kumshauri.
Aende mjini? Au abaki tu kijijini?
Kama ataenda mjini vitu gani azingatie ili afanikiwe?
Safi sanaAnha ushauri mzuri sana ngoja apambane na kilimo.
Sio lazima kuja na mtaji wala hela ya chumba.Vipi kuhusu aje na mtaji na hela ya chumba miezi mitatu.
Fursa zipo nyingi sana hapa mjini fursa ya kwanza ni kuajiriwa kuna vibarua vingi sana kwa ushauri wangu wa haraka aanzie soko la feri pale kuna vibarua vingi sana pale kuanzia kusaidia kushusha samaki kwenye mitumbwi, kuparua samaki,kukaanga samaki ,kusaidia mama/baba lishe na nyingine nyingi cha msingi asiwe mvivu na mtu wa kujifanya hapendi shombo.manake pale feri kuna harufu yake moja mbaya sanasawa mkuu ningependa kujua ni fursa zipi?
Shukrani sana mkuu, kijana apambane aache uvivu,uzembe,na utegemezi sioFursa zipo nyingi sana hapa mjini fursa ya kwanza ni kuajiriwa kuna vibarua vingi sana kwa ushauri wangu wa haraka aanzie soko la feri pale kuna vibarua vingi sana pale kuanzia kusaidia kushusha samaki kwenye mitumbwi, kuparua samaki,kukaanga samaki ,kusaidia mama/baba lishe na nyingine nyingi cha msingi asiwe mvivu na mtu wa kujifanya hapendi shombo.manake pale feri kuna harufu yake moja mbaya sana
Pia anaweza kwenda kwenye masoko makubwa kuna kusaidia kubeba mizigo vikapu vya wadosi wanaokuja kufanya manunuzi unamtaimu anashuka kwenye gari lake unambebea kikapu unakuwa unatembea naye kwenye vizimba ananunua mahitaji unambebea hadi atakapomaliza unampelekea kwenye gari lake anakutoa .
Mjini hapa dsm kufa njaa ni uzembe tu wa vijana
Ndio manake kama huko bush hakueleweki aje mjin dasalama huku akiwa mpambanaji, na Mungu akiwa upande wake anatoboa.Shukrani sana mkuu, kijana apambane aache uvivu,uzembe,na utegemezi sio
madini hayo hapo kazi kwako. nakazia kwenye uaminifu uaminifu uaminifu. vijana wengi wamekuwa na tamaa sanaSio lazima kuja na mtaji wala hela ya chumba.
Cha kwanza ambacho anatakiwa kuja nacho hapa mjini ni uaminifu.
Cha pili asije na uvivu .
Cha tatu asije na tamaa ya kufanikiwa haraka
Akiwa na hivyo mtaji na hela ya kupanga atapa hapahapa mjini
Kila kitu kipo yeye aje na hela tu.Awaungishe nini??
Sisi wenyew tumezikosa ebu mshauru tena.hela ndio anakuja kuzisaka hapo mjini