Kwasababu ni bei rahisi atakuja na nyingiChumvi ya mawe ya kazi gani watu wanasema, sijui Inaondoa mikosi
Kwasababu ni bei rahisi atakuja na nyingiChumvi ya mawe ya kazi gani watu wanasema, sijui Inaondoa mikosi
Ushauri mzuri, lakini nimemaanisha ana elimu ya form four sio umri wa form four hivyo naweza kusema yuko early to mid 20'sKwa umri wa form four bado ni mtoto, anasumbuliwa na vitu vingi vya rika,
Kwakua ndo kamaliza Hana ujuzi wowote kwenye elimu wala ufundi, ikiwezkna yeye ndo achague kama Hana mpango na elimu Tena basi ajikite kwenye ufundi ili apate ujuzi angalau utamsaidia hapo baadae,
Kuna kazi za kuuza duka, wakala, housekeeping akipata mtu wa kumshika mkono akaja mjini akafanya kazi za namna hiyo, napo zitamfungua akili,
Asikimbilie sana kuja mjini kama hajajipanga na Hana pa kufikia atateseka sana, nadhani humu Kuna mashuhuda mji huu ni mzito hasa ukiwa huna hili wala lile. Hata napo akikaa kijijini kama ni mikoa yenye fursa kujikita kwenye kilimo, ufugaji na biashara ndogo dogo ni khery zaidi.
Azingatie hayo hayoUshauri mzuri, lakini nimemaanisha ana elimu ya form four sio umri wa form four hivyo naweza kusema yuko early to mid 20's
Linda alichunge Kwa wivu mkubwa sana kama mboni ya jicho lakeHabari wakuu.
Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?
Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza kumshauri.
Aende mjini? Au abaki tu kijijini?
Kama ataenda mjini vitu gani azingatie ili afanikiwe?
Baby bwana majibu yako😂😂Aje na akili tu, ndala atazikuta mjini.
Si anaishi kwake ama?Mkuu kanyumba ndo maendeleo?
😎utakapoona panakufaa ndiyo ubakimi mzima upo unaonaje niende mjini au nibaki nilime tu 😳
Karibu tena😇🙂 asante