Una ushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kuja mjini?

Habari wakuu.

Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?

Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza kumshauri.

Aende mjini? Au abaki tu kijijini?
Kama ataenda mjini vitu gani azingatie ili afanikiwem

Habari wakuu.

Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?

Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza kumshauri.

Aende mjini? Au abaki tu kijijini?
Kama ataenda mjini vitu gani azingatie ili afanikiwe?
Miruzi mingi hupoteza mbwa porini.mwambie asikilize moyo wake binafis nina ushuhuda wa hili jambo ,nilikuja mjini nikiwa 50000 kama aliba na nikafikia kwa mjomba naye akanitelekeza lakini sikukata tamaa kuendelea kutafuta kazi na mwisho wa siku niliipata job baada ya miezi 6 na nilipoipata kutokana na manyanyaso na kipato kidogo kwa mtu asiye na elim basi nikaamua kujisomesha kwa pesa ya mshahara niliokuwa nikipata hatimae nikamariza ila kwambinde nashukuru Mungu sasa tunaongea lugha moja na mwajiri. Kwahyo ushauri wangu mwenye jukumu la maisha yako ni wewe hivyo usikilize moyo wako
 
shukrani mkuu, ASIKILIZE MOYO WAKE
 
Eli Cohen sema kitu mkuu kuna nyuzi zako naziona we ni mshauri mzuri
Kutoka kijijini na kwenda straight mjini imeendelea kuwa pigo kwa vijana wengi. Wengi wao uishiwa kupoteza muda mjini lafu wanrudi kwao ameepiga hatua chache or no kabisa alafu wale waliobaki ubakuta tayari ana kanyumba ya kachumva kimoja , yeye hata boda hana.

We fikiria mtu anatoka na ubushi wake hadi adapt umjini huo atakuwa ameshapoteza pesa, muda na energy kiasi gani

Kama mtu anataka asepe kijijini ni pale logically fursa za kijijini hazitamlipa kutokana na effort na mtaji alionao.

Thus, namshauri mtu wa elimu hio mtaji mdogo aende kwanza senta ya kijiji hicho au wilayani senta ya kijijini hapo ili awe na ukaribu na nyumbani ila pia costs, homesickeness visimuathiri.
 
Maisha kila mahali, huenda akafanikiwa sana hapo mjini
Muache aende tu
Na kazi atazikuta hapo hapo
 
Kutoka kijijini na kwenda straight mjini imeendelea kuwa pigo kwa vijana wengi. Wengi wao uishiwa kupoteza muda mjini lafu wanrudi kwao ameepiga hatua chache or no kabisa alafu wale waliobaki ubakuta tayari ana kanyumba ya kachumva kimoja , yeye hata boda hana.

We fikiria mtu anatoka na ubushi wake hadi adapt umjini huo atakuwa ameshapoteza pesa, muda na energy kiasi gani

Kama mtu anataka asepe kijijini ni pale logically fursa za kijijini hazitamlipa kutokana na effort na mtaji alionao.

Thus, namshauri mtu wa elimu hio mtaji mdogo aende kwanza senta ya kijiji hicho au wilayani senta ya kijijini hapo ili awe na ukaribu na nyumbani ila pia costs, homesickeness visimuathiri.
Kimsingi unachoshauri ni kijana apate experience kwanza ya urban life kabla ya kwenda urban!
AU
aende suburban iliyopo karibu kuliko kwenda urban halafu afeli.
 
Uoga wa kujaribu mambo kwa Kuogopa kufeli kumefanya wengi washindwe kufika ndoto zao
~bolotoba
 
mkuu urban maisha yako fast sanaa labda kama anatoka na kibunda kirefu sana, ana guidance ya ndugu kwli na pia ana upeo mkubwa akilini

Sub-urban ni pazuri sana kulingana na hali ya huyo ambae umemuandika hapo.

Nakuambia haya kutokana na experience

SOMA PIA:
 
shukrani mkuu kwa muongozo, ngoja nipitie hio thread
 
Uoga wa kujaribu mambo kwa Kuogopa kufeli kumefanya wengi washindwe kufika ndoto zao
~bolotoba
Bora kujaribu maana anaejaribu atashindwa au atashinda lakini asiejaribu hapati chochote, mtembea bure sio kama mkaa bure
 
Kutoka kijijini na kwenda straight mjini imeendelea kuwa pigo kwa vijana wengi. Wengi wao uishiwa kupoteza muda mjini lafu wanrudi kwao ameepiga hatua chache or no kabisa alafu wale waliobaki ubakuta tayari ana kanyumba ya kachumva kimoja , yeye hata boda hana.

We fikiria mtu anatoka na ubushi wake hadi adapt umjini huo atakuwa ameshapoteza pesa, muda na energy kiasi gani

Kama mtu anataka asepe kijijini ni pale logically fursa za kijijini hazitamlipa kutokana na effort na mtaji alionao.

Thus, namshauri mtu wa elimu hio mtaji mdogo aende kwanza senta ya kijiji hicho au wilayani senta ya kijijini hapo ili awe na ukaribu na nyumbani ila pia costs, homesickeness visimuathiri.
Mkuu kanyumba ndo maendeleo?
 
Habari wakuu.

Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?

Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza kumshauri.

Aende mjini? Au abaki tu kijijini?
Kama ataenda mjini vitu gani azingatie ili afanikiwe?
 
Shukrani sana Aunt yangu tutauzingatia ushauri huu sisi vijana wa 2000.
Bora abaki zake kijijini alime maharage na mahindi naamini atatoboa, na kijijini hakuna bei kubwa ya vyakula tofaut na mjini, kijijini hulipi kodi ila ukija mjini aloo ujiandae kila kitu ni chutaaaa
 
Kwa umri wa form four bado ni mtoto, anasumbuliwa na vitu vingi vya rika,

👉 Kwakua ndo kamaliza Hana ujuzi wowote kwenye elimu wala ufundi, ikiwezkna yeye ndo achague kama Hana mpango na elimu Tena basi ajikite kwenye ufundi ili apate ujuzi angalau utamsaidia hapo baadae,

👉 Kuna kazi za kuuza duka, wakala, housekeeping akipata mtu wa kumshika mkono akaja mjini akafanya kazi za namna hiyo, napo zitamfungua akili,

👉Asikimbilie sana kuja mjini kama hajajipanga na Hana pa kufikia atateseka sana, nadhani humu Kuna mashuhuda mji huu ni mzito hasa ukiwa huna hili wala lile

👉 Hata napo akikaa kijijini kama ni mikoa yenye fursa kujikita kwenye kilimo, ufugaji na biashara ndogo dogo ni khery zaidi.
 
Back
Top Bottom