Vya kuendeleza uhai mpaka atakapopata sehemu ya kujishikiliaHaha 😂 ni vya kuuza au?
Sawa kiongozi shukrani MAFANIKIO HAYANA MJINI AU KIJIJINI popote kambiMafanikio hayana mjini wala kijijini.
Namaanisha kwamba.....
Mafanikio yanaenda hata kwa mjinga mazeee.
Nasema nini.....
Kijijini ama down town pote mafanikio yametamalaki.
Shukrani kiongozi hivyo kwa kuhitimisha kijana abaki kijijini au aondoke ? unaushauri lipi bora?Ushauri wa moja kwa moja hakuna ,kwani maisha hayana njia ya moja kwa moja kwamba ikiwa hivi ama vile ndio itakua hivyo daima.
Nikijichulia mimi mimi mwaka wa , 2002 nilitoka kijijini kuja mjini , nyumbani kule niacha mbuzi na ngombe kadhaa, kuja mjini kwa sasa sina cha maana nachoweza kujivunia , kama ningeendelea kule kijijini na ile mifugo leo ningekua sehemu tofauti nadhani
Pia kuja mtu alikuja kutoka kijijini miaka kumi mbele yangu leo hii ana nyumba kadhaa na gari .
Daah ngumu sana, huyo kazi zake ni informal jobs au zile za kubangaiza. Aje mjini kwa sababu fursa ni nyingi, ila kama inawezekana asitoke kijijini mpaka apate cha kufanya hata kama itakua uhouse boy, awe na pa kuanzia!Mshangazi dot com ushauri wako tafadhali
Yaani aje mjini na pesa kidogo aanze kuvuta shisha? Sio kweliaje na ramani maana huku ni rahisi sana kupotea pesa kidogo tu ataanza kupuliza shisha!, kuja kutahamaki mfuko mweupe na ramani imechanika!