Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

Waishi humo wasisahau kujilinda, afya bora ni muhimu sana.
Ni kweli kipengere cha afya wanakipuuza sana. Chipsi na energy drinks wamefanya kuwa ndio vyakula na vinywaji vya kila siku wakati sio vizuri kwa afya.

Kitu kingine ni ngono zembe, vijana wamesahau kabisa matumizi ya kondomu
 
Umenena vyema
 
Ni kweli kipengere cha afya wanakipuuza sana. Chipsi na energy drinks wamefanya kuwa ndio vyakula na vinywaji vya kila siku wakati sio vizuri kwa afya.

Kitu kingine ni ngono zembe, vijana wamesahau kabisa matumizi ya kondomu

Ngono inawamaliza vijana, hawasemi ila wanaugulia kimya kimya na yote hiyo ni kwasababu hawajali afya zao. Matumizi ya kinga ni muhimu sana kwa faida ya afya lakini wanapuuza kwa kujifariji watakosa utamu.

Tusichoke kuwakumbusha kuhusu hili la afya.
 
Hakika, na wewe pia haya uliyoandika yafnye kuwa muongozo wako. Ukifika 30 utaanza kuona miaka inaenda haraka sana tofauti na 20s
 
Hakika, na wewe pia haya uliyoandika yafnye kuwa muongozo wako. Ukifika 30 utaanza kuona miaka inaenda haraka sana tofauti na 20s



OK Ila Mimi umri sio jambo ambalo huwa nalichukulia serious Sana.

Nikiingia 3rd floor ntawekeza katika mambo matatu

Financial stability
Well -being
Give back
 
Uongoo niamini mimi ,25 mwisho wa sex,26 mpaka 30 awe ameshajitafuta ,na kajipata anaoa na anatunz familia kuanzia 32.
Mwanaume kujipata sio mchezo especially kama unatoka familia ya kinyonge, iyo miaka minne uliyoitaja inaweza isistoshe.

Kwa mwanaume mambo sio rahisi kama mwanamke, a woman have her pussy to fall back to when nothing else is working for her, but a man have nothing, its him against the world.

Kitu ambacho mwanaume anaweza kutumia mpaka miaka mitano kufanya kazi ndio akipate, mwanamke anaweza kukipata ndani ya nusu saa tu kwa kufungua mapaja yake, kwaiyo mwanaume hana muda wa kupoteza, miaka 20 tu kijana anatakiwa awe tayari ashaanza kupambania mdoto zake.
 
Sio wote wanatoa pussy wengine wana hustle tena sio kidogo
 
1. Ahakikishe akifika 30 years of age, awe ana mtoto tayari wa umri wowote.
2. Ahakikisha kama ni ujenzi anaufanya mapema iwezekanavyo
3. Ahakikishe hakutanishi ada na ujenzi
4. Asifuate mkumbo wa huku au kule ni mbali hivyo siwezi nunua kiwanja au kumiliki nyumba huko.
5. Amiliki maeneo mengi kadri ya uwezo wake. Ardhi ina-appreciate kila siku
 
Points zako zote hazna faida bali zinawatesa wengi
 
kama mm tu kila siku nasema nitakuja pm lkn siji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ