Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,176
- 2,372
Afu apo unamwambia njoo karibu mbona umekaa mbali,,,,,,afu akisogea una muuliza mbona hunywi mrembo ebu chukua kinywaji weka kwene bil yangu.Bia ya kwanza bar ma barmed wa hapa ni wabaya ya 2,3,4,5 ,pisi zote ni kali mno
HahahahaAfu apo unamwambia njoo karibu mbona umekaa mbali,,,,,,afu akisogea una muuliza mbona hunywi mrembo ebu chukua kinywaji weka kwene bil yangu.
Hiyo ni red flagUnaenda sehemu kuomba kazi una bonge la ngeu usoni tena bichi bichi,,, hata kama vyeti vyako una A zote, utaambiwa ahsante kwa kuja
Masikini anajulikana tu hata akivaa suti Kali na mchongoko .Mwonekana unaweza kukufanya ukakosa fursa ya kuonekana maskini , kumbe kweli ni maskini .
Ila ofisi za umma unaweza kuvaa kanzu mkuu ?Kwani kanzu ina tatizo gani? Kanzu ni vazi tu ambalo asili yake ni huko Middle east,Kanzu wala sio vazi la kidini,
Ndio maana mtu yeyote na wadini yeyote ile anavaa tu kanzu,
Hata Bungeni,wabunge huingia na Kanzu wala haina shida.
Kama mafundi seremala tuu, nyumbani kwao unakaa kwenye kiti na makelele.... "angalia usiangukeeee"!Au unaweza kukuta muuza Viatu anatembea peku.
Hyo picha dp😃😃😃😃Ndio
Katika Sharia za mavazi inaruhusiwa ila ukivaa kanzu unabidi kuweka kofia juu .Ila ofisi za umma unaweza kuvaa kanzu mkuu ?
Kwa unavyoiona unahisi naweza kupata dili gani la pesa ndefu mkuu?Hyo picha dp😃😃😃😃
Kuna wakati nilipitia changamoto kwenye maisha nikawa majala.Unaamini muonekano unaweza kukupa au kukunyima fursa ???
Kwani tatizo la Kanzu ni nini?Ila ofisi za umma unaweza kuvaa kanzu mkuu ?
Nazungumzia mimi kama mtumish wa umma mfano daktari au hakimu naweza kwenda eneo langu la kazi nikiwa nimevaa kanzu ?Kwani tatizo la Kanzu ni nini?
Watu wanaenda Ikulu na Bungeni wamevaa kanzu,au hujawahi kuona?
Usinikumbushe chuga😉🥱😂Bia ya kwanza bar ma barmed wa hapa ni wabaya ya 2,3,4,5 ,pisi zote ni kali mno
Kuna sheria inayozuwia hilo?Nazungumzia mimi kama mtumish wa umma mfano daktari au hakimu naweza kwenda eneo langu la kazi nikiwa nimevaa kanzu ?
Sizungumzii hao clients au political figures.
Sizu
Haya kakaWatu wanatinga ikulu na mavazi Kama hayo kanzu na kofia wewe unazungumzia habari za world vision
Na usichoelewa Kanzu ni Vazi rasmi unaruhusiwa kuvaa na kofia yake , hakuna ofisi utazuiliwa hapa Tanzania kwa kuvaa kanzu na kofia
Sheria lazima ziwepoKuna sheria inayozuwia hilo?