Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

Kweli na Kuna mengi kazungumza katika video hiyo ya dakika kama 5 sema sikuandika maana TISS si watu wa kuwachezea ila alichokisema mwaka 2021 mwezi wa August inatosha kufahamu huyu Rais mwanamke kutoka Afrika ya Mashariki ni nani.
Aache uhuni august 21 mbona rais mwanamke afrika mashariki tulikuwa naye tayari kwanini hizo ramli zake asingeziona mwaka 2016 huko [emoji3]
 
Mungu hujipigania maana ananguvu ,sasa huyo Mungu wenu mnaye mpigania ina maana hana nguvu?
 
Aache uhuni august 21 mbona rais mwanamke afrika mashariki tulikuwa naye tayari kwanini hizo ramli zake asingeziona mwaka 2016 huko [emoji3]
Bado miaka miwili tu tutajua Kila kitu.
 
Hili suala la kuleta udini wa jinsi hii ndio ushetani wenyewe!

Umejaa roho ya vita,mapambano na kutojiamini.
 
Tumwombe Mungu atuondolee huu uongozi unaokumbatia mafisadi, na baadae wafunguliwe mashitaka.
 
Hatoboi 2025, ndivyo itakavyokuwa
 
Aache uhuni august 21 mbona rais mwanamke afrika mashariki tulikuwa naye tayari kwanini hizo ramli zake asingeziona mwaka 2016 huko [emoji3]
Shekh yahya naye alitabiri hivyo hivyo, ulimwengu wa roho ni bayana
 
Mkuu ubarikiwe Sana kwa taarifa hi ngoja Wana maombi tuingie maombi
 
Vyote hvyo Ni vya magu kila kitu yey alichoweza kufanya Ni panga pangu tu
 
Ujinga tu huu.
Nampenda mam ako wa dini yako ya mnyazi mungu ila kwa Kweli anaingixwa Chaka Sana had uteuz anachomekewa sasa kwa ishu nyeti za nchi c anachomekewa embu muambia aachane na hyo ishu ya badndari na akitaka amteuwe hata mwanae amsadie ktk bandari


Kama alivyofanya rais bohari wa Nigeria kumteua kaka ake awe waziri wa vlwizara nyeti ya nishati kudhibiti upigaji wa watu

Hvyo hvyo mam ako afanye hvyo amteuwe bint ake asimamie hyo bandari atuepushe na matapeli was Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…