Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki.

Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo atafanya makosa mawili kutokana na kupewa ushauri mbaya na watu wake anaowaamini waliopo kwenye uongozi wake.

Akifanya makosa mawili hasahasa kosa la pili katika tukio la pili, kutatokea na Upinzani mkubwa ndani ya chama chake na pia Upinzani utatoka nje kwake ambao itasababisha madhara katika safari yake ya uongozi mtukuka.

Atakayetaka kufuatilia ujumbe huu anaweza kumsikiliza hapa kwenye link nitakayotuma hapa.

Mimi simjui huyu Rais mwanamke mpaka sasa.

Link:

Ramli

That is our endpoint
 
Hata sasa mie ukiacha utabiri huo nilitaka kuandika humu kumu caution Mh Samia Suluhu Hassan kuwa makini, hii suala la DP w linaweza kuwa makusudi wameanua kumpoteza kabla ya Uchaguzi wa 2025. Hasa watu wa chama chake wanaoutaka Urais
Sio kweli. Ndani ya chama hakuna mwenye nguvu hiyo
 
Hata sasa mie ukiacha utabiri huo nilitaka kuandika humu kumu caution Mh Samia Suluhu Hassan kuwa makini, hii suala la DP w linaweza kuwa makusudi wameanua kumpoteza kabla ya Uchaguzi wa 2025. Hasa watu wa chama chake wanaoutaka Urais
Hili lina mantiki.
Niliwahi kujiuliza hii kuuza nchi ina baraka za chama kweli?
 
Ujinga huo.

Wajinga ndiyo waliwao.
Kuna wakati wanaowaambia wenzao wajinga, huwa hawana uwezo wa kutambya mjinga ni nani na mwerevu ni nani, kwa sababu wao wenyewe ni punguani.

Mjinga hufunzwa. Punguani anatakiwa ama kuonewa huruma tu au kupuuzwa.
 
Hatuhitaji hata unabii kujua ,yanayotkoea, ayatendayo na jinsi anavyo yashughulikia ni ushahidi tosha kuwa tumepigwa na kitu kizito[emoji848]inshort kiti kimepwaya,nchi Ina ombwe kubwa la uongozi wa juu wa nchi.
Ombwe linakuwa baya zaidi ikiwa ni kiti cha urais
 
Kuna wakati wanaowaambia wenzao wajinga, huwa hawana uwezo wa kutambya mjinga ni nani na mwerevu ni nani, kwa sababu wao wenyewe ni punguani.

Mjinga hufunzwa. Punguani anatakiwa ama kuonewa huruma tu au kupuuzwa.
Maneno kuntu mkuu, huyo FaizaFoxy ni kiumbe ambaye si tu punguani, lakini yuko permanently on heat na anawashwawashwa mno.
Tatizo ni kwamba hajijui.
 
Muombee wewe na familia yako
Mi ntamwombea na familia yangu hata kama sio team kijani, na jua uwe mccm au kaaa uongozi wake unakuhusu, na wapinga mawe wote naombea... Ili uelewe kuwa wako watu Wana Shauri mabaya aanguke... Kama hili la bandari... Ila Mungu mwema akibadilisha vifungu atavuka salama😢😢
 
Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki.

Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo atafanya makosa mawili kutokana na kupewa ushauri mbaya na watu wake anaowaamini waliopo kwenye uongozi wake.

Akifanya makosa mawili hasahasa kosa la pili katika tukio la pili, kutatokea na Upinzani mkubwa ndani ya chama chake na pia Upinzani utatoka nje kwake ambao itasababisha madhara katika safari yake ya uongozi mtukuka.

Atakayetaka kufuatilia ujumbe huu anaweza kumsikiliza hapa kwenye link nitakayotuma hapa.

Mimi simjui huyu Rais mwanamke mpaka sasa.

Link:
Ian Ndlovu tapeli unyama huyo
 
Tusisahau kuiombea Yanga, bingwa wa kudumu wa Tanzania na finalist Africa
 
Mi ntamwombea na familia yangu hata kama sio team kijani, na jua uwe mccm au kaaa uongozi wake unakuhusu, na wapinga mawe wote naombea... Ili uelewe kuwa wako watu Wana Shauri mabaya aanguke... Kama hili la bandari... Ila Mungu mwema akibadilisha vifungu atavuka salama😢😢
Hii hoja yenu ya kusema anashauriwa vibaya ni hoja ya kitoto kweli, na ndio inasaidia kuprove kuwa uwezo wake unapwaya kukalia hicho kiti...
 
Wataka Urais 2025 wanamuingiza mama mkenge ili hao hao kwa mlango wa nyuma wamchomoe.
 
Hivi wewe mama si ulisema unapitiaga jamii forum mara kwa mara ? Au unatembelea jukwaa lipi ? Je ni kweli unataka kuniambia unasomaga uzi wa kula tunda kimasiara? Au ni kweli upo kwenye jukwaa la mapenzi? .

Najiuliza maswali nakosa majibu mama yangu, natamani nifunge na kuomba kwa ajili Yako ila nikikumbuka kauli Yako kuwa askari wenu huwa hawakosei looh nairisha kufanya maombi. Kuna mda nawaza wewe mama sijui ni mtu gani kuendelea kuwakumbatia majizi mawili kwenye wizara nyeti na muhimu nakosa majibu.

Basi kama wewe ni kipofu au ni kiziwi fumbua basi hata kinywa kinene mema ili watoto wa nchi hii tupate kupumua tumechoka kuomba mabaya kwa ajili ya nchi yetu, kama unaona limekushinda liache Muha wetu anatosha kutufikisha nchi ya ahadi daima.

Mama mama uko wapi jukwaa gani unalipitia soma basi hata maoni ya watoto wako huku magagura mlandizi, wewe ni mama gani usiekuwa na Huruma!!!

Namaliza maswali yangu mama ila tunaomba uende kwa amani
 
Back
Top Bottom