Kweli walibeba maono ya nyumbu ndio maana leo hakuna Mbunge Nyumbu hata mmoja Bungeni!
 
Wameanza kusubiri baada mungu wenu kuondoka?! Hizo dua za Kuku hazimtishi mtu! Kubali tu kwamba, umeachwa mkiwa na utaendelea kula joto la upwekwe kwa maisha yako yote ya hapa duniani!
Huchomoki kamanda, utatafunwa tu hata usemeje.
 
Wameanza kusubiri baada mungu wenu kuondoka?! Hizo dua za Kuku hazimtishi mtu! Kubali tu kwamba, umeachwa mkiwa na utaendelea kula joto la upwekwe kwa maisha yako yote ya hapa duniani!
Yameachwa na maumivu haya mayatima ya Jiwe. Tulisema kila aliyeshabikia upuuzi maumivu yatamkuta ndio haya. Kitu chini puu! ghafla bina vuu. Unacheza na Mungu?
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Big up kwako mzee wa maono Gdbless Lema ni mapema mno
Akiwa anatumikia ubunge wa arusha mjini kipindi kile tunaongelea miaka miwili au mitatu iliyopita amewahi kumuonya sabaya kwa njiaya simu iliyovuja mitandaoni kuhusu mwenendo wa dc huyo kipindi cha utawala wake lakini sabaya anasikika akimbeza na kumdharau Lema wazi wazi!
Laiti angemsikilia pengine yote haya yasingetokea na hili iwe ni funzo kwa viongozi wengine pindi wawapo madarakani waache tabia za unyanyasaji na uonevu...wakumbuke nchi hii inatawaliwa kwa sheria.
 
Tuwekee humu maongezi baina ya mahasimu wawili hao.
 
Hivi naye Sabaya atavaa jezi za orange au atakuwa considered kivingine
 
Alipaswa kuvalishwa tangu jana baada tuu ya kuingia gerezani,bahati yao ni kwamba walichelewa kurudi gerezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…