Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?
Naomba niwe muwazi; Lema alipokuwa anagombea ubunge wa Arusha Mjini kwa mara ya kwanza nilimwona ni kama mtu wa kukurupuka na asiye na maono.

BUT, my perceptions towards him have been changed significantly. Kubwa ya yote na mwona ni mtu mwenye msimamo dhabiti. Atetereki anaposimamia anachokiamini!!

Kuna wakati niliona Mwendazake alijaribu kuwa karibu naye lakini Lema didn’t take the baits na Aliendelea kujaribu kumsahihisha pale ilipobidi. Angekuwa mwanasiasa njaa ungekuta hata Chadema alishakimbia.
Kudos Lema. Ni matumaini yangu ipo siku utapewa nafasi ya kuwa mwenyekiti wa Chadema!!
 
Back
Top Bottom