Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?
Mbali na hoja zake nyingi nzito alizokua akizitoa bungeni na mara nyingi kupingwa utashangaa mengi aliyoyalalamikia na kuonya baadaye yamekuja kuonekana nini alimaanisha:

Ukimsikiliza alivyokua akitahadharisha mfumo ule wa ununuzi wa korosho.

Ukimsikiliza alivyokua akikosoa mada mbalimbali za miswada ya uundaji wa sheria.

Pia pale alipokua anaongea na DC Sabaya kwa njia ya simu akimuonya mara tatu tatu kwamba ipo siku utakuja kulipia haya. Acha yale mambo ndiyo leo hii yana-trend.

Yale yale yalioongelewa miaka miwili nyuma na Lema(haya maono yote ya yapo katika youtube waweza sikiliza)

Kamanda alikua na maono.

Hakika Yeye na hata wenzake akina Heche, Msigwa, Sugu, Lissu walibeba maono na walileta challenge nzuri ambayo ingetuimarisha kama taifa kuelekea maendeleo.

Japo tunawamiss lakini twategemea siku moja mtarejea mjengoni.
Kuhusu Lema kama ingekuwa ndio zile ngonjera za kuitana Mungu au ni zaidi ya Yesu kama alivyotamka yule sheikh Alhad wa Dar es salaam basi huyu angeitwa hayo majina maana anafit kujinasibu kwa madhira ya kuwahadaa wananchi.

Lakini naamini Lema ni mtu mwenye maono anatumia common sense ambayo ukiitumia hautaona ni masia Bali no upeo wa kibinadanu ambao sote tulipaswa kuwa nao ili itusaidie kuishi haya maisha ya kila siku.

Bahati mbaya mafunzo yanaonekana Ila bado wengi wetu hatujifunzi haya maonyo anayotoa Lema kama kiongozi mwenye busara ya kibinadanu.
 
Yani hilo la jiwe daaah! Huyu ni nabii kabisa.Et walimkamata kisa unabii wake,yapo wapi sasa?
 
Pia Lema ni mwanahistoria mzuri wanajua yajayo kwa akuoitia yaliyopita.

Lissu alituonya mapema sana wiki moja baada ya Jiwe kuapa akatwelez Magufuli atakuwa Dikteta wa kutisha tujiandae kwa maumivu. Yaliyotokea sote ni mashahidi
Jiwe akuwahi soma somo la historia angesoma angejifunza kuhusu historia za tawala mbalimbali zilizoanguka.
Rise and fall of kingdoms hii topic ya form 3 ingemfaa Sana.
 
Mbali na hoja zake nyingi nzito alizokua akizitoa bungeni na mara nyingi kupingwa utashangaa mengi aliyoyalalamikia na kuonya baadaye yamekuja kuonekana nini alimaanisha:

Ukimsikiliza alivyokua akitahadharisha mfumo ule wa ununuzi wa korosho.

Ukimsikiliza alivyokua akikosoa mada mbalimbali za miswada ya uundaji wa sheria.

Pia pale alipokua anaongea na DC Sabaya kwa njia ya simu akimuonya mara tatu tatu kwamba ipo siku utakuja kulipia haya. Acha yale mambo ndiyo leo hii yana-trend.

Yale yale yalioongelewa miaka miwili nyuma na Lema(haya maono yote ya yapo katika youtube waweza sikiliza)

Kamanda alikua na maono.

Hakika Yeye na hata wenzake akina Heche, Msigwa, Sugu, Lissu walibeba maono na walileta challenge nzuri ambayo ingetuimarisha kama taifa kuelekea maendeleo.

Japo tunawamiss lakini twategemea siku moja mtarejea mjengoni.
Lema ni zaidi ya T.B Joshua
 
Back
Top Bottom