Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?
Ndio maana tukaambiwa tuwape watoto wetu majina mazuri, GODBLESS. Amebarikiwa na Mungu huyo tayari. Eti unamwita mtoto MUSIBA si utakuwa Msiba. Majuto utakija jijuitia. POMBE itakuja kuwa kali iuwe watu. SHAKA, ujinsia wake utakuwa wa mashaka. KABUDI ndio Kabugi naye. Polepole na fikira zake zitakuwa slow pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mimi siingii kichwakichwa kiongozi... ndo maana naomba mwongozo wa Nabii Lema...

Najua Saint Anne alikuwa kichwa sana chuoni. Ila hata mimi sio wa kubeza. Kama unabisha kamuulize mwalimu wangu wa Sayansi Kimu pale Mtakuja primary school, darasa la 6B.

Kiukweli Babu unatisha sanaaa Sema tuu sant Anne hajakupa Nafasi....Na hivi anapendeleaga wine,Hope ata enjoy...Najua hatojuta Kuwa na wewe Mkuu!
Babu Mlezi[emoji3166][emoji851]
Saint Anne mtoto wa Kilakala A-Level!
Babu Umlee Vizuri huyu Binti usije Ukampa Stress [emoji30][emoji110],Stress zake zibebe wewe...Kama ubebavyo!....
 
Aisee we binadamu... Mungu akubariki sana...

Kwa maombi haya, yule mchuchu akinibania basi hatakuwa tena Saint Anne bali Devil Mrs Sabaya.... Ntaongea na mama amfanyie maamuzi magumu

Nami nakuombea kwa Maulana, yule mjane wa Reginald Mengi akupe nafasi ya kuwa baba mlezi wa wale mapacha...

Ila usisahau kutufanya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa ITV na Bonite Bottlers .... Mimi na mtakatifu Anna hatutakuangusha, nakuahidi.
 
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu

View attachment 1783717
Utabiri wa Sabaya unaelekea kutimia bado wa Ndugai
 
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu

View attachment 1783717
Nabii na mtume G. Lema!![emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Na Mimi natabiri... Ndugai hata pelekwa polisi Wala Mahakamani. Lkn baada ya kustafu kwake hata ishi kwa furaha Kama wastafu wengine. Atakua mpweke Sana, hata kuwa na furha Kama ya mzee Mwinyi, kikwete au msekwe. Atakua mnyonge ndani ya moyo wake Kama mzee warioba! Mzee warioba unyonge wake Ni katiba. Siku katiba yake ikianza kutumika wallah yule mzee atafikisha miaka 100 Kama mzee Mwinyi. Ukimtazama na kumsikiliza mzee warioba utagundua Hilo.
 
Majuto ni mjukuu
 
Attachments

  • VID-20210604-WA0034.mp4
    1.7 MB
Back
Top Bottom