Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?
Madaraka hayamfai mtu mshamba.Huyu kibaka akustahili kabisa kuwa mtumishi wa umma .
Kumi tena kwa mama

FB_IMG_1620966240504.jpg

FB_IMG_1620966243945.jpg

FB_IMG_1620966247236.jpg

FB_IMG_1620966235068.jpg
 
Alijikologa mwenyewe kwenda kuongea utumbo kwenye TV tawi la ccm
 
Msibani mtu ulia kwa uchungu sio kwamba anampenda marehemu bali hofu ya njia ya toilet kuota nyasi
 
Duh!! Tatataka kabisa

Bora kaondoka

Ila mama awe makini na Ndungai naye ni hatari kwa usalama wa taifa ili

Impeachment ingemfaa sana na yeye
Mama hana Mamlaka ya kuingilia mhimili Wa Bunge. Mama ana kaustaarabu ka kuheshimu Mipaka yake ya Utawala...

Mama Siyo kama yule Chizi!!
 
Duh wewe ni muhanga?
Ndio,
hivyo viwajwa ndio vinanipa ugali mezani, sasa jitu kisa kuu la wilaya linalaximisha bure
Ok sijasoma Ila siibi cha mtu, wewe rais anakujua , Mara sijui visifa kibao Sasa toa hela hizo sifa haziwalipii nauli na ada wadogo zangu
Namsubiri nikutane naye mtasikia habari kwenye magazeti, namdhalilisha mwanzo mwisho, ntamwagia mkojo , natembea nao kwenye chupa
 
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu

View attachment 1783717
Kasabaya kamefika mwisho wake sasa ashukuriwe Mungu mkuu!
 
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu

View attachment 1783717
Duh.. ushauri wa hasimu wako ni mzito sana kuliko wale wanaojipendekeza na wanafiki.
 
Back
Top Bottom