Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
HahaaaAnanafikia balaa ohh kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaAnanafikia balaa ohh kazi iendelee
Kenani kihongosi ni jipu nae atumbuliwe jamaniMaongezi fresh tu ya machalii wawili wa Arusha,mmoja former jambazi na mmoja former DC na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya.
Nimepenyezewa kwamba hamalizi wiki ijayoBado Ndugai
Ndo nabii wetu alitabiri kifo na kikatokea .Mungu ambariki lemaMie Lema namuogopa rasmi kuanzia leo..ana nini huyu kaka?
Na tuseme amin
Ameeen [emoji23][emoji23][emoji23]Na tuseme amin
Ndugai amtafute Lema wayamalize MapemaLema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu
View attachment 1783717
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Halafu sabaya ni masikini,sijuii ataishii maisha gani lema,mbowe pesa ipo wamewekeza vya kutosha sabaya kazii kubaka wadada pale the don
Haha acha unabii utimieNdugai amtafute Lema wayamalize Mapema
Mimi siingii kichwakichwa kiongozi... ndo maana naomba mwongozo wa Nabii Lema...Mwamba Naona Tayari ushachukua Toto ujue...
Huyu Dada Ni Smart sana Ujue na Ni Mrembo Mwenye IQ kubwa tangu yupo Chuoni!
Hongera Mkuu Ila angalia asikupige kibuti,Kawapiga Kibuti wengi tuu! ila huwa nakukubali sana Mkuu Una Kipaji flan!!
Cc Saint Anne
Waombe mama awatoe. Maana akiendelea kuwaacha Mungu ataenda kusikia dua zetu kama alivyozisikia kwa baba yao... mwendazake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mwenzake wa Iringa,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu
View attachment 1783717
Pole sana Prof sukuma gang. Pigo la kukata na shoka hilo. Tutawakata matawi hadi mnyokeSioni unabii hapa.
Ilitakiwa uwe ulisema kabla tena mapema, halafu yakaja kutokea, huo ndio unabii.Na mimi wa tatu, hapa nimepata maono huko Hai watu wanasherehekea utadhani mwezi umeonekana Hai!
Aiseee 🤔🤔, wooraaa Lema 🤣🤣 Nyinda meku!!Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu
View attachment 1783717
Yuko busy sana anaanda msosi na mapochopocho ya sikukuu jameni. Anaijali familia yake.Mama D anasemaje.Tumsikilize tafadhali.Threads zote sijamwona.
Yuko busy sana anaanda msosi na mapochopocho ya sikukuu jameni. Anaijali familia yake.Mama D anasemaje.Tumsikilize tafadhali.Threads zote sijamwona.
Nadhani keshachelewa. Neno likiishatoka kwa nabii hakuna ku rewindNdugai amtafute Lema wayamalize Mapema