Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?
Tunasubiria kwa hamu yatimie kwa Ndungai. Ewe Mwenyezi Mungu tufanyie wepesi tuondolee huyu mbilikimo.
 
Mimi siingii kichwakichwa kiongozi... ndo maana naomba mwongozo wa Nabii Lema...

Najua Saint Anne alikuwa kichwa sana chuoni. Ila hata mimi sio wa kubeza. Kama unabisha kamuulize mwalimu wangu wa Sayansi Kimu pale Mtakuja primary school, darasa la 6B.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mie Lema namuogopa rasmi kuanzia leo..ana nini huyu kaka?
Ndio maana tukaambiwa tuwape watoto wetu majina mazuri, GODBLESS. Amebarikiwa na Mungu huyo tayari. Eti unamwita mtoto MUSIBA si utakuwa Msiba. Majuto utakija jijuitia. POMBE itakuja kuwa kali iuwe watu. SHAKA, ujinsia wake utakuwa wa mashaka. KABUDI ndio Kabugi naye. Polepole na fikira zake zitakuwa slow pia.
 
Ndio,
hivyo viwajwa ndio vinanipa ugali mezani, sasa jitu kisa kuu la wilaya linalaximisha bure
Ok sijasoma Ila siibi cha mtu, wewe rais anakujua , Mara sijui visifa kibao Sasa toa hela hizo sifa haziwalipii nauli na ada wadogo zangu
Namsubiri nikutane naye mtasikia habari kwenye magazeti, namdhalilisha mwanzo mwisho, ntamwagia mkojo , natembea nao kwenye chupa
Pole sana mkuu Mungu amejibu maombi
 
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu

View attachment 1783717
Bado wa Ndugai
 
Lema ni mcha Mungu wa kweli siyo hawa wanaojitangaza wacha Mungu na huku wanaua watu!
 
Ndio maana tukaambiwa tuwape watoto wetu majina mazuri, GODBLESS. Amebarikiwa na Mungu huyo tayari. Eti unamwita mtoto MUSIBA si utakuwa Msiba. Majuto utakija jijuitia. POMBE itakuja kuwa kali iuwe watu. SHAKA, ujinsia wake utakuwa wa mashaka. KABUDI ndio Kabugi naye. Polepole na fikira zake zitakuwa slow pia.
Ila hili lina ukweli...Asante Mama kunipa jina linaloendana na baraka nazopata kwakweli...khaa
 
Back
Top Bottom