Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hahaha nywesage hela be...winywa nyasingo🤣🤣 ne ndikwiandaa ndibitie kunywa beSegito hivi hapa nimepiga magoti nakusabahi.Ukiitika nainuka na kuendelea kunywa mdindifu!😂😂😂😂
Ndugai ashamtabiria Ndugai. Amemtaka Ndugai amtafute Lema ili ampe maagizo toka kwa Mungu. Akipuuza atakufa.Bado kwa ndugai
Bado Ndugai, unabii utatimia tu!!Mie Lema namuogopa rasmi kuanzia leo..ana nini huyu kaka?
Ataondoka tu mkuu, ni swala la muda tu!!Bado kwa ndugai
ndiyo tamaa hiyoAlizonyanga'nya WATU je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana tukaambiwa tuwape watoto wetu majina mazuri, GODBLESS. Amebarikiwa na Mungu huyo tayari. Eti unamwita mtoto MUSIBA si utakuwa Msiba. Majuto utakija jijuitia. POMBE itakuja kuwa kali iuwe watu. SHAKA, ujinsia wake utakuwa wa mashaka. KABUDI ndio Kabugi naye. Polepole na fikira zake zitakuwa slow pia.
Nisamehe kama nimekukwaza...🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila babuuuh kweli mwendazake hukupendezwa nae daaaah,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mimi siingii kichwakichwa kiongozi... ndo maana naomba mwongozo wa Nabii Lema...
Najua Saint Anne alikuwa kichwa sana chuoni. Ila hata mimi sio wa kubeza. Kama unabisha kamuulize mwalimu wangu wa Sayansi Kimu pale Mtakuja primary school, darasa la 6B.
Aisee we binadamu... Mungu akubariki sana...Kiukweli Babu unatisha sanaaa Sema tuu sant Anne hajakupa Nafasi....Na hivi anapendeleaga wine,Hope ata enjoy...Najua hatojuta Kuwa na wewe Mkuu!
Babu Mlezi[emoji3166][emoji851]
Saint Anne mtoto wa Kilakala A-Level!
Babu Umlee Vizuri huyu Binti usije Ukampa Stress [emoji30][emoji110],Stress zake zibebe wewe...Kama ubebavyo!....
Utabiri wa Sabaya unaelekea kutimia bado wa NdugaiLema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu
View attachment 1783717
Japo na yeye kuna mahali anapaswa kujirekebishaHuyu Kaka alitakiwa awe mtumishi wa Mungu na sio mwanasiasa!!
Nabii na mtume G. Lema!![emoji1317][emoji1317][emoji1317]Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu
View attachment 1783717
Ndiyo.Bado kwa ndugai
Ninayasubiri maono ya Lema kwa Ndugai. Inshallah, yatatimia!Bado kwa ndugai