Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

Braza kasome vizuri maandiko manabii na unabii. Kuna unabii aina kama 3 hivi: 1. Anayeona ya nyuma 2. Anayeona ya sasa 3. Anayeona yajayo na 4. Anayeona yote 3. Lema ni wa aina ya 3!
Kama ni mgalatia sijui Kama atakuelewa
 
Wewe na Lema nyote inaonesha ni majambazi. Lema jizi tubliliiba Gari la Baba Mkwe wangu
 
Kwahiyo mlichagua maiti mkamuacha mgonjwa Lowasa mamaae
Akili kisoda! Ni kuwa aliyokuwa anayafanya yalimwingiza hatarini. Unadhani kumweka ndani mtu kama sethi ilikuwa ni mchezo? Yule alikuwa mwanaume wa shoka! Itachukua miaka mingi kumpata mzalendo wa kweli kama alivyokuwa JPM.
 
Legeneral saa mbovu🏋️
 
Yaani unaona kabisa kipofu anavuka highway bila uangalizi kisha huko inashuka semitrela kama inawakimbia waajemi, halafu unatabiri kipofu atagongwa nangari.....

Aache wenge
 
Akili kisoda! Ni kuwa aliyokuwa anayafanya yalimwingiza hatarini. Unadhani kumweka ndani mtu kama sethi ilikuwa ni mchezo? Yule alikuwa mwanaume wa shoka! Itachukua miaka mingi kumpata mzalendo wa kweli kama alivyokuwa JPM.
Kuuwa watu na kufunga watu bila hatia ndio uzalendo au ujuha mnaojifunza hapo Lumumba? Mungu hapendi uonevu ndio maana kilio Cha watu wengi kilimfikia Mungu ktk kiti chake zcha enzi na Mungu akajibu maombi ya waonewa kwa Moto na kusema nimeghairi kama Mimi ndiye niliye liumba jiwe, na hakika halitasali
a jiwe juu ya jiwe ambalo halita bomolewa. Mara vikasikika vilio na mayowe, lbilisi na malaika zake wakilia kwa uchungu huko motoni. Nileteeeni gwajiboy nileteeeni gwajiboy.
 
Daniel alitabiri anguko la tawalaa, Yohana kuoitia ufunuo alitabiri anguko la falme ya Babeli nk
 
Una husda sana alikufanya nini ndugu! Unauthibitisho wowote wa hizi hoja zako mufilisi au ni chukk na wivu pole sana
 
Ni rahisi sana kuwa impress baadhi ya Watanzania.

You state the obvious [say..in November and December…it is going to be very hot in the coastal cities], and then when it comes to pass, some nincompoop will wax lyrical about your ‘prophesy’.
 
Aijificha kwenye kichaka cha uzalendo akafanya maovu ya kutisha, alichokosea ni unafiki wa kujifanya mwema kumbe alikuwa ibilisi ndiyo maana aliadhibiwa maandiko yanasema "bora kuwa baridi au moto kuliko kuwa vuguvugu nitakuangamiza"
Akili kisoda! Ni kuwa aliyokuwa anayafanya yalimwingiza hatarini. Unadhani kumweka ndani mtu kama sethi ilikuwa ni mchezo? Yule alikuwa mwanaume wa shoka! Itachukua miaka mingi kumpata mzalendo wa kweli kama alivyokuwa JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…