Kama ni mgalatia sijui Kama atakuelewaBraza kasome vizuri maandiko manabii na unabii. Kuna unabii aina kama 3 hivi: 1. Anayeona ya nyuma 2. Anayeona ya sasa 3. Anayeona yajayo na 4. Anayeona yote 3. Lema ni wa aina ya 3!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mgalatia sijui Kama atakuelewaBraza kasome vizuri maandiko manabii na unabii. Kuna unabii aina kama 3 hivi: 1. Anayeona ya nyuma 2. Anayeona ya sasa 3. Anayeona yajayo na 4. Anayeona yote 3. Lema ni wa aina ya 3!
Wote majambazi pamoja na LemaZaidi ya Sabaya aliyepiga V8 ya 250+M kwa 60m only? Nani jambazi hapo? Jambazi yupo nyuma ya nondo anachezea spank za nyapara!
Bado jambazi Paulo mkolomije aliyevamia Clouds now anataka kukimbia nchi, ataminywa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na Lema nyote inaonesha ni majambazi. Lema jizi tubliliiba Gari la Baba Mkwe wanguKumtukana Lema, haitakusaidia kitu. Kunena mabaya dhidi ya mtu hakuwezi kumfanya kuwa mwovu. Hata wewe, watu wanaweza kukuita ni muuaji lakini kama hujawahi kuwa muuaji, hutakuwa.
Lema hajawaki kushtakiwa kwa wizi hata wa pini, achilia mbali magari. Kesi zake zote zilikuwa za kisiasa. Kama aliiba gari lako halafu uliamua usiende popote, tuambie. Vinginevyo, inawezekana utakuwa umeanza kupatwa na uwendawazimu. Dalili mojawapo kubwa ya magonjwa ya akili ni kuona vitu ambavyo havipo.
Waombe ndugu zako wakupeleke hospitali yoyote ya magonjwa ya akili ili uwahi matibabu.
Kauli kama hizi zinanikumbusha kipindi Mwendazake katoweka halafu nyumbu kama wewe moajitokeza kufichaHakuna kitu kama hicho, bora utulie tu kama hunauelewa na mambo ya kisiasa.
Kwahiyo mlichagua maiti mkamuacha mgonjwa Lowasa mamaaeKama ni utabiri wa Magufuli, wengi walidhani hatamaliza mwaka wa kwanza! Acheni kusifia misikule
Hutu mwaka huu nasikia ndio ukomo wake wa kazi(kustaafu)Anafuatia Sirro
Akili kisoda! Ni kuwa aliyokuwa anayafanya yalimwingiza hatarini. Unadhani kumweka ndani mtu kama sethi ilikuwa ni mchezo? Yule alikuwa mwanaume wa shoka! Itachukua miaka mingi kumpata mzalendo wa kweli kama alivyokuwa JPM.Kwahiyo mlichagua maiti mkamuacha mgonjwa Lowasa mamaae
Lema siyo mganga wa kienyeji wa kupiga ramli (bao).Tuulizie kwa plofeti Lema kuwa vipi wale mawakili wa serikali wanaomkomalia Mbowe kwenye ilekesimchongo nao watadanja au??
Wewe ndio tulia, usijifanye wewe ni genius wa mambo ya siasa, ayaaaa nyamaza wewe na unyamaze kweli kweliHakuna kitu kama hicho, bora utulie tu kama hunauelewa na mambo ya kisiasa.
Legeneral saa mbovu🏋️Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Definately..Kila unabii huwa unatimia hata kwa kuchelewa.
Rais wa darisalamu bado anatembea.
Yaani unaona kabisa kipofu anavuka highway bila uangalizi kisha huko inashuka semitrela kama inawakimbia waajemi, halafu unatabiri kipofu atagongwa nangari.....Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000).
Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea!
Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia kwa majuto makuu, legenerali Sabaya.
Mgogo pia yamemkuta Nimekosa mimi nimekosa mimi, nimekosa sana!
Dah jamaa aanzishe kanisa tutinge tu hamna namna nadhani hata wale wa kula urefu wa kamba watapunguza kasi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuwa watu na kufunga watu bila hatia ndio uzalendo au ujuha mnaojifunza hapo Lumumba? Mungu hapendi uonevu ndio maana kilio Cha watu wengi kilimfikia Mungu ktk kiti chake zcha enzi na Mungu akajibu maombi ya waonewa kwa Moto na kusema nimeghairi kama Mimi ndiye niliye liumba jiwe, na hakika halitasaliAkili kisoda! Ni kuwa aliyokuwa anayafanya yalimwingiza hatarini. Unadhani kumweka ndani mtu kama sethi ilikuwa ni mchezo? Yule alikuwa mwanaume wa shoka! Itachukua miaka mingi kumpata mzalendo wa kweli kama alivyokuwa JPM.
Vinaweza vikaenda sambamba.Hutu mwaka huu nasikia ndio ukomo wake wa kazi(kustaafu)
Daniel alitabiri anguko la tawalaa, Yohana kuoitia ufunuo alitabiri anguko la falme ya Babeli nkUnabii hauko hivyo, bhana! Yaani ukweli kwamba cheo ni dhamana au kusema ipo siku mimi, wewe au mtu mwingine atakufa nao ni unabii? You must be kidding! Kila mtu analijua hili. Tusilolijua ni timing yake, na hiki ndicho kinachohitaji unabii.
Nabii anazungumzia timing ya jambo kwa kubainisha vitu ambavyo ndivyo vitakuwa ishara kwamba muda wa jambo fulani kutokea umewadia!
Huyu hana unabii wowote ni chokora, mwizi na mgongaji. Tafuta post zangu humu JF kuhusu huu unabii bandia. Mimi ndiye mtu wa kwanza niliye mfumbua kuwa huyu anataka kuotumia dini kisiasa na kimanufaa.
Ile asilia yake ya ujambazi na ulaghai ndio utampeleka hadi aamue kufungua kanisa lake na aanze kuzoa 10% kutoka kwa wananchi masikini.
Utabiri unasemaje kuhusu Prof Jay?Anafuatia Sirro
Ni rahisi sana kuwa impress baadhi ya Watanzania.Unabii hauko hivyo, bhana! Yaani ukweli kwamba cheo ni dhamana au kusema ipo siku mimi, wewe au mtu mwingine atakufa nao ni unabii? You must be kidding! Kila mtu analijua hili. Tusilolijua ni timing yake, na hiki ndicho kinachohitaji unabii.
Nabii anazungumzia timing ya jambo kwa kubainisha vitu ambavyo ndivyo vitakuwa ishara kwamba muda wa jambo fulani kutokea umewadia!
Akili kisoda! Ni kuwa aliyokuwa anayafanya yalimwingiza hatarini. Unadhani kumweka ndani mtu kama sethi ilikuwa ni mchezo? Yule alikuwa mwanaume wa shoka! Itachukua miaka mingi kumpata mzalendo wa kweli kama alivyokuwa JPM.