CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Mkuu.ni mwaka gani huo?.Wewe na Lema nyote inaonesha ni majambazi. Lema jizi tubliliiba Gari la Baba Mkwe wangu
Hongera kwa kuoa kwa matajiri😝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.ni mwaka gani huo?.Wewe na Lema nyote inaonesha ni majambazi. Lema jizi tubliliiba Gari la Baba Mkwe wangu
Aliiona hatma yake mikononi mwa watesi wake, akachukua hatua mapema🤔.Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Ndicho kilichotokea, mchana madhabahuni usiku underground anagonga cheers kwa kuwapongeza 'vijana' wake kwa kuwamwaga damu wanaompinga.!Aijificha kwenye kichaka cha uzalendo akafanya maovu ya kutisha, alichokosea ni unafiki wa kujifanya mwema kumbe alikuwa ibilisi ndiyo maana aliadhibiwa maandiko yanasema "bora kuwa baridi au moto kuliko kuwa vuguvugu nitakuangamiza"
Kuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu mwenyewe alitoroshewa Misri paleAngekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Hana unabii wowoteKaza sana fuvu mzee...ila walioko kwenye mifumo wanaona kinachoendelea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh?Tuulizie kwa plofeti Lema kuwa vipi wale mawakili wa serikali wanaomkomalia Mbowe kwenye ilekesimchongo nao watadanja au??
Kumbe yule mzee ugonjwa wake ulikuwa haujifichi sema tu tulikuwa hatuoniKweli lema anaona mbali tena mbali kwa kweli , lakini hio ya mzee wetu yule kuna watu waliona kabisa kingechoweza kutokea tokea 2019
Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.
From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.
Kwa hiyo unapingana na karama za Mungu kwa wateule wachache?Hakuna kitu kama hicho, bora utulie tu kama hunauelewa na mambo ya kisiasa.
Hata Familia Ya Yesu Walipo Nusa Hatari Walikimbilia Misri!Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Wako wengi tu,Yesu alitabiriwa kifo chake na yeye mwenyewe alitabiri kifo chake,kifo cha Yuda kilitabiriwa,mfalme Herode,na wafalme wengi wa kitabu cha wafalme 1&2. Adam kama mwanadam wa kwanza aliambiwa wazi ukila tunda hakika utakufa,unabii ni kwa mambo mazuri na mabaya kutegemea na matendo ya anayetabiriwaSikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.
From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.
Daniel alitabiri anguko la tawalaa, Yohana kuoitia ufunuo alitabiri anguko la falme ya Babeli nk
Ni rahisi sana kuwa impress baadhi ya Watanzania.
You state the obvious [say..in November and December…it is going to be very hot in the coastal cities], and then when it comes to pass, some nincompoop will wax lyrical about your ‘prophesy’.
Bado yupo kwenye maombi jibu litakuja suburiTuulizie kwa plofeti Lema kuwa vipi wale mawakili wa serikali wanaomkomalia Mbowe kwenye ilekesimchongo nao watadanja au??
Tutaamua tuzike au tasafirishe?!Baada ya hapa kuna jitu lilikufa[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2108738
Hata manabii walikuwa wanakimbia na wengine walijificha, wewe hata biblia husomi. Unajua nabii ni mwanadamu tu sio malaika.Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.
From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.