Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

Aijificha kwenye kichaka cha uzalendo akafanya maovu ya kutisha, alichokosea ni unafiki wa kujifanya mwema kumbe alikuwa ibilisi ndiyo maana aliadhibiwa maandiko yanasema "bora kuwa baridi au moto kuliko kuwa vuguvugu nitakuangamiza"
Ndicho kilichotokea, mchana madhabahuni usiku underground anagonga cheers kwa kuwapongeza 'vijana' wake kwa kuwamwaga damu wanaompinga.!

Plus maombi ya waathirika, Mungu hakuachi atapita na wewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli lema anaona mbali tena mbali kwa kweli , lakini hio ya mzee wetu yule kuna watu waliona kabisa kingechoweza kutokea tokea 2019
Kumbe yule mzee ugonjwa wake ulikuwa haujifichi sema tu tulikuwa hatuoni
 
Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.

From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.

Kwanza, huo ndio unabii wa Lema tunaouziwa hapa. Pili, mimi sikubaliani na unabii unaohusu vitu ambavyo it’s just a matter of time kabla havijatokea. Nabii akiamua kutuambia juu ya hivyo vitu, basi ategue timing yake!
 
Hakuna kitu kama hicho, bora utulie tu kama hunauelewa na mambo ya kisiasa.
Kwa hiyo unapingana na karama za Mungu kwa wateule wachache?

Ok,tupe mbadala basi, lakini usituelekeze kuamini kuwa utabiri wa Lema ni siasa. Labda kama hujui maana ya siasa.
 
Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Hata Familia Ya Yesu Walipo Nusa Hatari Walikimbilia Misri!
Mtume Muhammad alikimbilia Ethiopia!
Kurudi nyuma sio kukimbia ila kunusuru uhai kwa ajili ya kesho
 
Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.

From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.
Wako wengi tu,Yesu alitabiriwa kifo chake na yeye mwenyewe alitabiri kifo chake,kifo cha Yuda kilitabiriwa,mfalme Herode,na wafalme wengi wa kitabu cha wafalme 1&2. Adam kama mwanadam wa kwanza aliambiwa wazi ukila tunda hakika utakufa,unabii ni kwa mambo mazuri na mabaya kutegemea na matendo ya anayetabiriwa
 
Daniel alitabiri anguko la tawalaa, Yohana kuoitia ufunuo alitabiri anguko la falme ya Babeli nk

Nadhani hao walitegua issue ya timing. Otherwise, hata mimi ninajua ipo siku CCM itaanguka, kwasababu hakuna kitu cha kudumu!
 
Ni rahisi sana kuwa impress baadhi ya Watanzania.

You state the obvious [say..in November and December…it is going to be very hot in the coastal cities], and then when it comes to pass, some nincompoop will wax lyrical about your ‘prophesy’.

That’s it; umemaliza![emoji28]
 
Tuulizie kwa plofeti Lema kuwa vipi wale mawakili wa serikali wanaomkomalia Mbowe kwenye ilekesimchongo nao watadanja au??
Bado yupo kwenye maombi jibu litakuja suburi
Kama wewe haupigi goti wapo wanaopiga magoti kwa kuomba subiria utaambiwa majibu unayotaka
 
Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.

From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.
Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.

Nabii Nathani alimtabiria mtoto wa Daudi aliezaa na mtoto wa mke wa Uria atakufa baada ya kumpeleka Uria mstari wa Mbele vitani kisha kumtwaa Mke wake.
mtoto hakumaliza ht wiki...
Daudi akafunga siku wiki nzima akisali na kuomba ili mwanae asife na still aka r.i.p.

Huu sasa ndo unabii, sio unabiri wa kutabiri kitu mpaka watu wanasahau then kinakuja kutokea then unasema ni unabiii...
 
Back
Top Bottom