Unadate na Mwanamke au mmama ambaye amechora tattoo ya jina la la ex wake kwenye paja. Wewe utakuwa na matatizo

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana.

Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi.

Are you insane?
 
Hata kama ana Tattoo ya Yesu, piga na ndom, sepa
 
Tumeanza nusu iliyobaki kufunga mwaka lakini vijana wanajadili tattoo za makalio..!!

Hii nchi kuna mahali imetoboka sio bure..
 
Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana.

Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi.

Are you insane?
Wadada wenye Tattoo Bongo wengi wao wanakula njugu
 
Back
Top Bottom