Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

Hawajamkataa sabbau ni mwanamke ila ni sera mbovu za Democrats that's all. Mama samia tutamkataa sio kwa sababu ya jinsia yake ila uongozi mbovu. Tuache mindset mbovu namna hii, tumeshakua na marais 5 wanaume ila bado nchi ni maskini so hakuna connection ya jinsia na uongozi.
True.
 
Kama ndani ya Ccm kungekuwa na democracy asingepata 20 bora!
 
Connection ipo, ila unaweza kuendelea kujidanganya. Upo huru and stop being stupid

Sera za Biden, Obama ni sawa sawa na Sera za Harris na Clinton, Obama alishinda na Biden alishinda over trump, what else nikueleze ?

It is simple and clear wanamkataa Harris na Hillary sababu Gender ….. no way

Kama ni Sera…… Harris was a continuation of Biden, i am prety sure kwa sera hizo hizo angesimama Obama au Biden Over trump… wangeshinda

Tatizo kubwa kuna human nature mnapenda kuibalance, you guys are not honesty to yourselves

Obama alinadi Ushoga na akashinda term zote 2 , what else nikueleze au una comment kwa hisia na mtetemo wa chini
Duh, najaribu kukuelewa logic yako kuhusu USA
 
Mwanamke kaumbwa kuwa msaidizi sio kiongozi
 
Hawajamkataa sabbau ni mwanamke ila ni sera mbovu za Democrats that's all. Mama samia tutamkataa sio kwa sababu ya jinsia yake ila uongozi mbovu. Tuache mindset mbovu namna hii, tumeshakua na marais 5 wanaume ila bado nchi ni maskini so hakuna connection ya jinsia na uongozi.

Harris kakataliwa kids jinsia Yake Hilo lipo wazi.
Kwa hiyo Sera ya Democratic imebadilika baàda ya Harris kugombea Urais, alikuwepo Obama, Biden akachaguliwa lakini alivyogombea Hillary na Kamala Sera za Democratic zikabadilika. Hivi inaingia kweli akilini?
 
Acha uongo biden was losing this time around, tatizo sio jinsia ila inflation, immigration crisis, middle east, Ukraine war na mengineyo ndio kifo cha Democrats sio jinsia stop being delusional. Kwamba CCM ikiweka rais mwanaume ndio maendeleo yatakuja au CCM ni ile ile?
Trump muda wote alioshindana na wanaume alipigwa chini.

Takwimu zinaonesha waliompigia Kura Harris ni weusi zaidi.

Huu uchaguzi ulijaa ubaguzi sana.
 
Hata huku hatoboi Kwa Katiba hii hii,

HATOGOMBEA!!
 
Trump muda wote alioshindana na wanaume alipigwa chini.

Takwimu zinaonesha waliompigia Kura Harris ni weusi zaidi.

Huu uchaguzi ulijaa ubaguzi sana.
Sio kweli, Biden alipata kura za weusi kuliko Kamala. In fact Trump kapigiwa kura na Latinos and blacks kuliko wakati 2016 na 2020
 
Takwimu zipo!

Hiyo ni kwa mujibu wa takwimu za vyombo vya habari huko USA

Blacks wengi wamempigia Harris.

Trump anashinda sababu ya anashindana na wanawake ambao hawatakiwi kutawala USA
 
Acha uongo mkuu unapotoshaje? Nimesema biden alipata kura nyingi za blacks na Latinos kuliko Harris sasa unachopinga ni nini?
Trump was able to make slight inroads with Black voters nationally, who made up about 1 in 10 voters across the country.

Nationally, about 8 in 10 Black voters supported Harris. But, that was down from about 9 in 10 in the last presidential election who went for Biden.

Source: Trump gained more women, Hispanic and Black voters in 2024
 
Harris kakataliwa kids jinsia Yake Hilo lipo wazi.
You're insane, Trump alimzidi Biden kwenye opinion polls zote na kama sio kubadili mgombea wangepoteza majimbo yote marekani.

Tuwe serious tu, angebakia biden angeshinda?
Kwa hiyo Sera ya Democratic imebadilika baàda ya Harris kugombea Urais, alikuwepo Obama, Biden akachaguliwa
Biden alikua anaenda kupigwa aliondolewa ila ikawa too late. So sidhani kuna Democrat angemuangusha Trump ndio siasa za USA, hata huyo kamala angegombea 2020 angeshinda, wana tabia ya kupokezana vijiti kutoka Republican kwenda Democrats kama aneyekua madarakani aki mess up.

Tuache ushamba, mtu msomi kama wewe unakomalia jinsia as if hao CCM mafisadi miaka 60 walikua wanaongozwa na mwanamke?
 
Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden.

That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti.

Kinachoendelea hapo TZ ni evidence kuwa wanawake ni walezi wazuri na sio viongozi wazuri , nchi haina adabu wala woga, wizi na ufisadi upo kwenye level ya juu hatari, hayo ma barabara ya mwendokasi, SGR , bandari, taasisi za umma etc, ukiambiwa upigaji wake utalia machozi ya damu, no control and mama does not know what else to do.

Ameacha maisha yaende tu. Fanya kinachokupa flavor. Hayo maujenzi ya magorofa ya KKO ni hatari, gorofa inabomolewa leo, in two weeks kitu kimeshasimama, i wonder kama hata Quality Assurance and Standard zinafuatiliwa kweli, kakitokea tetemeko kidogo tu, tutatafutana sana ; nchi imeoza under woman leadership!

U. S can not accept a shame of Being led by woman, Harris anakufa kifo cha mende asubuhi na mapema just as Hillary Clinton and the list will go on in the future

Je, wewe unadhan tungekuwa na tume ya Uchaguzi as independent entity ya USA, Samia angetoboa hata 10% ? 😹

Ukiona mwanamke amekuwa Rais, ujue kuna namna mwanamme alishindwa kufanya wajibu wake vizuri women were never created to lead, unless man loses his sight—— alisikika Mchokonozi
Endelea kudhani, Mama mitano 5
 
Lingeshindwa mno hili
 
Back
Top Bottom