baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Sababu ni world bank? Yes lazima waangalie hayo. Ukitaka mikopo yenye riba kubwa ya private banks then hata kama unaenda kubeti haiwahusu wao.Unajua kwann kampuni zinavalue Coorporate social responsibility?. Unataka kusema CSR plan inaweza kutumika kama sifa ya kupata mkopo au mm sijaelewa hoja yako?
Yani bahresa akopeshwe kirahisi sababu anatoaga kisaada kwa maskini kwani kakopa kama NGO?
WHO ELSE ARGUE WITH YOU?
Dewji kaonekana smart hapa😂😂Watanzania tunatamani sana kuona hao matajiri wako hivyo kwenye picha ili tujivunie pasipo kuchangia chochote kuwepo kwa utajiri wao zaidi ya kuwauzia nguvu zetu bei rahisi humo viwandani?View attachment 3583116
Kichwa chako cha habari kinahitaji marekebisho kutokana na muktadha wa habari yenyewe.Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
CSR au suistainability au inclusion plan? Sabab CSR mkuu haileti faida ila inclusion maana yake wanufaika ni watu wa hali ya chini sana sabab miradi mingine mingi hawanufaikagi. Chunguza hata ile miradi ya kusaidia wazee kupitia serikal za mitaa inavyoendeshwaSababu ni world bank? Yes lazima waangalie hayo. Ukitaka mikopo yenye riba kubwa ya private banks then hata kama unaenda kubeti haiwahusu wao.
Soko la utakatishaji wa fedha lilivyokuwa na umafia umfanye mtu kichaka cha kuhifadhia magendo yako?. How safe is that?wasomali pale Kenya!!!tatizo la ukabila pale Kenya ilibidi wageni wapewe uchumi kupush uchumi wa nchi!!na mambo hayo ni sera Siri za pale Kenya tangu wapate uhuru!!!pia wezi wanawatumua kutakatisha mapesa hapo kenya!!
Nafikiri TU!!!
Mbona hatuona hio influence yao kwa mataifa ya ulaya kwann wananguvu zaidi afrika ni mifumo tuu ya uongozi mmbayaWatu wameanza kutengeneza pesa tangu enzi za Uhuru wewe unasema habari za kutengeneza pesa haraka? Hapo kwenye list unafikiri ni wangapi wameanza shughuli zao baada ya 1990?
Wanatunza siri, wanawalinda wale wanaowapa koneksheni-kutoa salio, wanajua kutembea kwenye mfumo uliopo au utakaokuja, wanawatunzia mali waliopo kwenye mamlaka, sisi kwa sisi hatutaki wewe upate- unawekewa mazingira magumu ya biashara.
Wazawa kutoamiana, hata kama sifa zikifanana bado upendeleo atapewa Mu-asia
Mkoloni maendeleo yake ya kibepari, na moja ya athari ya kibepari maendeleo yake huwa yanamegeka Kikanda, Kirangi na kikabila. Kwa hoja ya ukoloni kihistoria naungana na weweKichwa chako cha habari kinahitaji marekebisho kutokana na muktadha wa habari yenyewe.
Waajemi kwa sisi waswahili tunawaita watu wa Iran (Persia au Farsi).
Waarabu wanalitumia hili jina la Ajemi kama watu wasiyo kuwa waarabu.
Tukirudi kwenye habari yenyewe ni kwanini safu ya matajiri imetawaliwa na waasia?
Kuna sababu kadhaa ambazo wengi wetu tumeweza kuzieleza kama vile historia, mitandao ya kibiashara, nidhamu ya kifedha na fursa katika biashara, lakini naona sababu kubwa ni mfumo wa ulimwengu uliyowekwa na wakoloni wa kumkandamiza mwafrika ungali upo na sasa unatumiwa na baadhi ya watawala wachache wenzetu kwa maslahi yao na familia zao. Na viongozi hao wanawatumia hawa watanzania wenye asili za kiasia kama kivuli ili kukwepa kutojulikana kwa kutumia matumizi mabaya ya ofisi.
Post yangu inasema WAMEANZA KUTAFUTA HELA TANGU ENZI ZA UHURU nikimjibu aliesema hawa watu wanatafuta hela za haraka haraka. Hilo la influence sijui mifumo mibovu ni lako kujadili.Mbona hatuona hio influence yao kwa mataifa ya ulaya kwann wananguvu zaidi afrika ni mifumo tuu ya uongozi mmbaya
Kumpatia elimu bora kulingana na uwezo wako,kama uwezo unaruhusu IST mpeleke . Kama hauwezi basi muhamasishe hata kutafuta maarifa mtandaoni ambayo gharama yake ni bando,kuna vitabu pia vya bure kwa bando la buku unadownload na kujisomea kupata maarifa ya thamani kubwa.Kama anaweza kulipia kozi za dola kadhaa alipie asome. Uzuri sasahivi tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia,maarifa yanapatikana kwa gharama ndogo.Kwamba tuwapeleke watoto wetu ist? Unajua kama chekechea tu ada ni 30m?
Mkuu prondo vijana wako wanacho cha kujivunia kuhusu wewe leo ukifa wakiendleze au yanaishia humuhum jf kama theory. Kwenye utekelezaji unawaacha wasake tonge "huruma sio malezi"? 😂Post yangu inasema WAMEANZA KUTAFUTA HELA TANGU ENZI ZA UHURU nikimjibu aliesema hawa watu wanatafuta hela za haraka haraka. Hilo la influence sijui mifumo mibovu ni lako kujadili.
Ungegoogle DK 1 Tu ungeelewa, World bank ina part ambayo ipo specific kwa private sector, yenyewe inatoa mikopo kwa wafanyabiashara ambao investment zao zinaigusa jamii moja kwa moja na kupunguza umasikini.CSR au suistainability au inclusion plan? Sabab CSR mkuu haileti faida ila inclusion maana yake wanufaika ni watu wa hali ya chini sana sabab miradi mingine mingi hawanufaikagi. Chunguza hata ile miradi ya kusaidia wazee kupitia serikal za mitaa inavyoendeshwa
Kama ni hivi mkuu Mo aongezewe kodi mana anatumia umaskini wetu kama sababu ya kuendelea kuwa tajiriUngegoogle DK 1 Tu ungeelewa, World bank ina part ambayo ipo specific kwa private sector, yenyewe inatoa mikopo kwa wafanyabiashara ambao investment zao zinaigusa jamii moja kwa moja na kupunguza umasikini.
Mfano Rwanda kuna Njaa ukiwa na plan yako imenyooka kutengeneza viwanda vya nafaka na kuongeza output ya Chakula ni rahisi kwa world bank kukupa huo mkopo, hii hauhusiani na Serikali ama mikopo wanayopewa Serikali wala NGO mbalimbali zinazotegemea Misaada. Inahusu wafanyabiashara watu ambao ukiwapa 50 wanazalisha inakua 100.
So mfanyabiashara anapata mkopo nafuu na World bank inanufaika kwa matatizo kutatuliwa, win-win situation.
Site Yao hii soma zaidi
International Finance Corporation (IFC)
A strong and engaged private sector is indispensible to ending extreme poverty and boosting shared prosperity. That's where IFC comes in - we have more than 60 years experience in unlocking private investment, creating markets and opportunities where they are needed most.www.ifc.org
Hakuna utekaji wa bahati mbaya!!!Soko la utakatishaji wa fedha lilivyokuwa na umafia umfanye mtu kichaka cha kuhifadhia magendo yako?. How safe is that?
Kwa hali hiyo sasa serikali inabid ipitie vizuri sababu za watu kutekwa kama Mo Dewji na kama ni hivyo asingepatikana 😁
Kuhalalisha jambo gani? You have to be clear. Kila kitu kwrnye uzi huu ni real na seriousHakuna utekaji wa bahati mbaya!!!
Aliekufa au kuuawa alikusudiwa kufa kuhalalisha jambo Fulani ambalo Mimi au wewe hatujui!!
Alietekwa akapatikana kama mo ni staged kwa malengo maalum kuhalalisha jambo jingine!
Ishu ya Mo hata marehem chuma hakuielewa coz alimlalamikia mambosasa inakuaje wewe upon MTU kama huyu anatekwa yaani akashangaa sana!Kuna hotuba fulani!!!
Wasomali wa Kenya ni mitaji kutoka kwa Wasomali wa Minesota, Marekaniwasomali pale Kenya!!!tatizo la ukabila pale Kenya ilibidi wageni wapewe uchumi kupush uchumi wa nchi!!na mambo hayo ni sera Siri za pale Kenya tangu wapate uhuru!!!pia wezi wanawatumua kutakatisha mapesa hapo kenya!!
Nafikiri TU!!!
Na mingine toka kwa wakubwa wa kenya!!Wasomali wa Kenya ni mitaji kutoka kwa Wasomali wa Minesota, Marekani