Halafu kwenye picha zao SSB umemuita RAWakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
Nishati, kwa maana ya mafuta, gesiEnrich that arguement by details.
1. Sekta za kutengeneza pesa kwa haraka ni zipi? Tupe mfano mmoja unaoishi hapa tanznia kati ya hao waliojikita nayo
Selfishness! Je ni ubinafsi tu wafrika umetuathiri kais hiki au ni kitivo kipana ambacho kinawez kuibua pia hoja nyingine ndani yake. Mana nakumbuka kama sijakosea ubinafsi ni nguzo kubwa sana ya ubepari, hatuna common interest kwenye ubepari zaidi ya kunufaisha watu wachache.Hio post ina majibu mazuri.
Is it scientificaly proven or assumption? Unatuleta kwenyd kuangalia tamaduni zaidi? Right?Utajiri unaanza na mindset ya mtu,nidhamu ya fedha,juhudi,discipline,malengo ya muda mfupi na malengo ya muda mrefu na mengineyo,
Leo hii ukimpa tajiri milioni 100 na masikini milioni 100 ili wote waanze upya,
Basi yule tajiri atarudi kua tajiri tena,na masikini atarudi kua masikini tena kama asipobadilika.
RA hata kama ni mwizi ila unafikiri wabantu wangapi wanaiibia serikali ? Issue inabaki pale pale mbantu hana nidhamu ya pesaMinnor issue hata mm nimeiona, sijatengeneza mm hii poster
Gap lilianza kukua kuanzia awamu ya pili. Sababu kuu sisi kushindwa ni selfishness,greed na sadly low IQSelfishness! Je ni ubinafsi tu wafrika umetuathiri kais hiki au ni kitivo kipana ambacho kinawez kuibua pia hoja nyingine ndani yake. Mana nakumbuka kama sijakosea ubinafsi ni nguzo kubwa sana ya ubepari, hatuna common interest kwenye ubepari zaidi ya kunufaisha watu wachache.
Na katika hilo sasa, waajemi hawa kama waliweza kuhold mikataba ya pesa nyngi wakakuza utajiri hawakuwa maskini, bali waliendeleza kilichopo. Kwa hili je ni kipindi kipi hasa hili gepu lilizaliwa?
Upo sahihi kabisa mkuu,Watu weusi au wabantu hawawezi kuwa matajiri wa muda mrefu .
Kuna jamaa pale Bukoba (kemondo) he was the richest guy ,
Amekufa mwaka 2021 akiwa late 50s kaacha watoto na watoto wanachofanya ni kuuza mali , juzi wameuza hotel kwa Bei ya hasara sana na wakati hotel ilikuwa ndo hotel tegemewa kwa mikutano n.k
Means MTU mweusi hana uwezo wa ku -pass down utajiri kutoka kizazi kimoja mpaka kingine.
Kwakuwa nidhamu ndogo katika kujiendesha.
Ona tu siku wafanya kazi wakipokea mishahara yao midogo hawalali ndani mpaka mshahara uishe.
Kitu ambacho hauwezi kukuta wanafanya hao wahajemi
Upo sahihi kabisa mkuu,
Wabongo wengi ni wabinafsi,
Hakuna Succession plan,ndio maana muhusika akifa,na biashara inakufa.
Matajiri ni Wanasiasa wabantu wenzenu ila tu wanawatumia hao kuficha utajiri wao. Haina maana hao ni masikini La Hasha...ila wameshikilia utajiri mwingi wa Viongozi weusi wezi, wasio wazalendo.Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
kuna issue ya Succession plan,mtoto anaandaliwa kuja kuendeleza biashara za familia,so anakua huku akiwa amejengwa kifikra tayari,hiyo ndio njia ya kutengeneza wealth generation wanayoitumia ''Waajemi''Is it scientificaly proven or assumption? Unatuleta kwenyd kuangalia tamaduni zaidi? Right?
1. Sekta za kutengeneza pesa ni zile zinazofanywa na watu wachache mfano viwanda, mafuta, media, technology n.k Hawa watu wanajua kulenga maeneo ya kimkakati ya biashara mfano badala ya wote kukimbilia kufungua fremu za uchuuzi Kariakoo wao watajikita kwenye "kutengeneza" packages, plastic, machines, bidhaa kabisa n.kEnrich that arguement by details.
1. Sekta za kutengeneza pesa kwa haraka ni zipi? Tupe mfano mmoja unaoishi hapa tanznia kati ya hao waliojikita nayo
2. Ushirikiano ni kitu kinachozungumzwa sana, watu wa kaskazini wana hiyo kasumba. Hasa wachaga na wameru, kwa nn wasitoe na wao?
3. Mamlaka? Je kuna waziri katika hao?
Kila mtu anataka kuwa CEO wa baishara yake, kuna ubays wowote zaidi ya kuanza moja kwa kila mwenye mgawo?.Watu weusi au wabantu hawawezi kuwa matajiri wa muda mrefu .
Kuna jamaa pale Bukoba (kemondo) he was the richest guy ,
Amekufa mwaka 2021 akiwa late 50s kaacha watoto na watoto wanachofanya ni kuuza mali , juzi wameuza hotel kwa Bei ya hasara sana na wakati hotel ilikuwa ndo hotel tegemewa kwa mikutano n.k
Means MTU mweusi hana uwezo wa ku -pass down utajiri kutoka kizazi kimoja mpaka kingine.
Kwakuwa nidhamu ndogo katika kujiendesha.
Ona tu siku wafanya kazi wakipokea mishahara yao midogo hawalali ndani mpaka mshahara uishe.
Kitu ambacho hauwezi kukuta wanafanya hao wahajemi
Kuna dogo wa kiajemi yupo around 22 ila anasimamia sheli 2 za baba yake Engine oil.kuna issue ya Succession plan,mtoto anaandaliwa kuja kuendeleza biashara za familia,so anakua huku akiwa amejengwa kifikra tayari,hiyo ndio njia ya kutengeneza wealth generation wanayoitumia ''Waajemi''