Unadhani kwanini ziara binafsi za Tundu Lisu mikoani zimepoa yaani zipo kama hazipo tu?

Tundu hazungumzii matatizo ya watanzania yeye anachowaza anapataje madaraka, angekaa na Kinana na Nape wakamweleza operation kujivua gamba ilikibebaje chama cha CCM, angekaa na Makonda akamweleza kwanini watu walimpenda na uitikio wao kwenye matukio ulikuwa mkubwa kipindi akiwa katibu mwenezi, Angekaa na hayati Magufuli kwanini alikubalika sana hasa kwa watu ambao si watumishi wa serikali angempa darasa zuri sana. Hao watu waliweza kuzungumzia changamoto za watu zinazowakabili kwa wakati huo na kuonesha namna gani wanavyozikabili. Tundu Lissu anatumia muda mwingi kulalamika na kuonesha mapungufu ya wengine ila hatoi dira ya moja kwa moja iwapo watapewa nchi watafanya nini na vipaumbele vyao kwa Taifa ni vipi. Kwa kifupi Tundu Lissu haeleweki
 
Hujui uachokisema. Wewe ni chawa.
Kama mpaka Leo hujaelewa basically hata darasani ulikuwa huelewi yanayofundishwa.
Ndo maana unaaminishwa kwamba chadema wataleta EBOLA nwe unabinua kiuno kushangilia
Sugu na Aida wemeipuuza no reform no elections na kwahivyo wametangaza kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa kihistoria october2025, wamegoma kabisa kubebwa ufala wa kifikra na haki za kikatiba na huyo kibaka wa siasa za no reform no elections.

Cha kushangaza,
mtia ni ya uraisi kupitia chadema ndugu Romanus, eti amelimwa barua na watu wa no reform no elections baada ya kupinga utapeli huo, unadhani ni kwanini hasa gentleman? :pedroP:
 
kwani hiyo ziara ni ya kichama kweli gentleman?
mbona mobilization ya mikutano haina hadhi wala mipango ya kichama, laikini pia anaepiga kelele ni yeye mwenyewe tu, na maeneo mengi hata haeleweki kabisa? :pedroP:

Huwezi kufanikiwa kwa kutegemea agenda za vyama vingine. Mngetakiwa kutumia muda hapa kuongelea mambo ambayo CCM imefanya. Huwezi kumchafua Lissu na ziara zake kwenye mitandao! Jamaa kashindikana kwa miaka 20 machawa msipoteze muda. Jikiteni kuongelea mambo ya maendeleo na machache uliofanya. Ripoti ya CAG na mambo ya msingi badala ya kuongelea mikutano kwa mtu ambaye hata haumuungi mkono. Uongo uongo hauwezi kuuzika nyakati hizi tunaona mikutano na ni sucess kubwa sana.
 
Tundu hazungumzii matatizo ya watanzania yeye anachowaza anapataje madaraka, angekaa na Kinana na Nape wakamweleza operation kujivua gamba ilikibebaje chama cha CCM, angekaa na Makonda akamweleza kwanini watu walimpenda na uitikio wao kwenye matukio ulikuwa mkubwa kipindi akiwa katibu mwenezi, Angekaa na hayati Magufuli kwanini alikubalika sana hasa kwa watu ambao si watumishi wa serikali angempa darasa zuri sana. Hao watu waliweza kuzungumzia changamoto za watu zinazowakabili kwa wakati huo na kuonesha namna gani wanavyozikabili. Tundu Lissu anatumia muda mwingi kulalamika na kuonesha mapungufu ya wengine ila hatoi dira ya moja kwa moja iwapo watapewa nchi watafanya nini na vipaumbele vyao kwa Taifa ni vipi. Kwa kifupi Tundu Lissu haeleweki
hapo hapo wakati anagombea uenyekiti wa chadema taifa, alidai katiba ya chadema ni mbovu sana inahitaji marekebisho.

sasa amepata madaraka na nafasi,
amesahau kabisa ule ubovu wa katiba ya chadema, na inaonekana ile katiba aliyoiponda sana kwasasa haina tatizo lolote.

mtu kama huyu inafaa kugopwa kama ukoma, ana dalili zote za utapeli, hana haja na shida za wananchi ispokua anataka vyeo na madaraka tu.
Infact,
ndio maana anapuuzwa tu maeneo mengi nchini:NoGodNo:
 
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Hiyo milio mnayotoa sasa ngoja tuone
 
Hiyo milio mnayotoa sasa ngoja tuone
unasubiri kuona nini tena gentleman na wakati mambo yote yako hadharani, na kwamba waTanzania wa vyama vyote vya siasa nchini wanajiandaa na kusubiri kushiriki kikamilifua uchaguzi mkuu wa kihistoria mapema octobaer mwaka huu?:pedroP:
 
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Sawa. Ngoja Chadema ipoteze ushawidhi ili CCM tupete na ushindi wa asilimia 💯 au nasema uongo ndugu zangu
 
Huwezi kufanikiwa kwa kutegemea agenda za vyama vingine. Mngetakiwa kutumia muda hapa kuongelea mambo ambayo CCM imefanya. Huwezi kumchafua Lissu na ziara zake kwenye mitandao! Jamaa kashindikana kwa miaka 20 machawa msipoteze muda. Jikiteni kuongelea mambo ya maendeleo na machache uliofanya. Ripoti ya CAG na mambo ya msingi badala ya kuongelea mikutano kwa mtu ambaye hata haumuungi mkono. Uongo uongo hauwezi kuuzika nyakati hizi tunaona mikutano na ni sucess kubwa sana.
Gentleman,
wananchi wenyewe wamekataa kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa nchini,
wameamua kutangaza nia za kugombea uongozi wa kisiasa kama vile udiwani, ubunge na urais, na wengine wanajipanga kushiriki uchaguzi huo muhimu sana kihistoria , halafu wewe unawakasirikia:pedroP:

hiyo itasaidia nini sasa kwa mfano gentleman, watu wanapotuamia haki na uhuru wao kikatiba?:pedroP:
 
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Hivi bado wanafanya mikutano? Mbn si TV RADIO na si magazeti yanarusha habari zao?
 
Sawa. Ngoja Chadema ipoteze ushawidhi ili CCM tupete na ushindi wa asilimia 💯 au nasema uongo ndugu zangu
hakuna suala la kungoja wala kusubiri,
mambo yote mbona yako hadharani?

wananchi wote nchini,
wanajiandaa kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa kihistoria october mwaka huu2025, hiyo ikimaanisha utapeli na porojo nyingine zote zimepuuzwa:pedroP:
 
Sawa kada.
 
Wewe
Tundu hazungumzii matatizo ya watanzania yeye anachowaza anapataje madaraka, angekaa na Kinana na Nape wakamweleza operation kujivua gamba ilikibebaje chama cha CCM, angekaa na Makonda akamweleza kwanini watu walimpenda na uitikio wao kwenye matukio ulikuwa mkubwa kipindi akiwa katibu mwenezi, Angekaa na hayati Magufuli kwanini alikubalika sana hasa kwa watu ambao si watumishi wa serikali angempa darasa zuri sana. Hao watu waliweza kuzungumzia changamoto za watu zinazowakabili kwa wakati huo na kuonesha namna gani wanavyozikabili. Tundu Lissu anatumia muda mwingi kulalamika na kuonesha mapungufu ya wengine ila hatoi dira ya moja kwa moja iwapo watapewa nchi watafanya nini na vipaumbele vyao kwa Taifa ni vipi. Kwa kifupi Tundu Lissu haeleweki

Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ungehamia kwanza Chadema huko huonekani bro
 
Wewe

Wewe ungehamia kwanza Chadema huko huonekani bro
Gentleman,
jambo la muhimu zaidi,
ni kuhakikisha wananchi wote Tanzania wanasaidika katika kushiriki kikamilifu michakato ya kidemokrasia na kuwaepusha kutapeliwa pesa, uhuru na haki zao za kikatiba na vibaka wa kisiasa nchini,

hayo ya sijui kuhamia wapi,
yafanywe na wale ambao wamefilisika maono ya kisiasa :pedroP:
 
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Siasa ni zaidi ya udomokaya

Siasa ni mandojo…. Akili, busara, Chumvi, hope na hekaya

Sasa Huyu chakandumuz yeye 100% ni kulalama na kudharau kila mtu

Unafika wakati unakua kama unasikiliza single ya Maddy Maddy cry
 
Back
Top Bottom