Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,418
- 4,031
Huyu Mzee ametegwa akategeka. Dhambi za kutnda uzeeni ni mbaya sana. Unasafiri nazo hadi mbinguni kwani muda wa kujisahihisha haupo.Na hapa Mzee mzima anakumbushwa, kama amesahau.
Huyu Mzee ametegwa akategeka. Dhambi za kutnda uzeeni ni mbaya sana. Unasafiri nazo hadi mbinguni kwani muda wa kujisahihisha haupo.Na hapa Mzee mzima anakumbushwa, kama amesahau.
Pumba tupuUkitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.
Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.
Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.
Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.
Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu?
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ndiye uliyepoteza mwelekeo wa maisha na akili ndiyo maana hauna mbele wala nyuma kazi kupigia debe matapeli. Jinga kabisa na shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaUkitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.
Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.
Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.
Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.
Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu?
Mungu Ibariki Tanzania
relax tu gentleman,Wewe ndiye uliyepoteza mwelekeo wa maisha na akili ndiyo maana hauna mbele wala nyuma kazi kupigia debe matapeli. Jinga kabisa na shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa

no gentleman,Mkuu Lissuphobia inakutesa!

Kwahiyo tutegemee mapambio na kuabudu kutoka Kwa Hawa chawaUWT leo wamelipwa saa 4 asubuhi
Mkuu mikutano inaendelea kama kawaida na inajaa watu! Kampeni ya No reform no Election inaendelea kutikisa nchi.no gentleman,
wanachadema ndio wameteswa zaidi na michango ya sijui tone tone, sijui join the chain imefanya nini n.k
baada ya mateso na utapeli wa hao vibaka wa chadema sasa wamegoma kabisa kuchangia hicho chama![]()
Yes gentleman,Mkuu mikutano inaendelea kama kawaida na inajaa watu! Kampeni ya No reform no Election inaendelea kutikisa nchi.
Wamekesha barKwahiyo tutegemee mapambio na kuabudu kutoka Kwa Hawa chawa
Hatari sanaWamekesha bar