Unadhani kwanini ziara binafsi za Tundu Lisu mikoani zimepoa yaani zipo kama hazipo tu?

Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Muulize Wasira atakuelewesha make keshaanza kuumbuka!!

Wewe endelea kutuibia tu Watanganyika
 
kwamba nawe ni miongoni mwa victims waliotapeliwa pesa kidigitali gentleman, kwenye ile tone tone?

hao vibaka na matapeli wa kisiasa hawajaridhika bado,
eti bado walitaka kuwatapeli uhuru na haki zenu za kupiga kura?

kweli hata wewe ungekubali kubebwa ufala gentleman? :pedroP:
 
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Lizaboni
 
unasubiri kuona nini tena gentleman na wakati mambo yote yako hadharani, na kwamba waTanzania wa vyama vyote vya siasa nchini wanajiandaa na kusubiri kushiriki kikamilifua uchaguzi mkuu wa kihistoria mapema octobaer mwaka huu?:pedroP:
Tuone na idadi ya watakaojitokeza kupiga kura. hii mnawrza kuiba kwenye system kama siku zote
 
kuibiwa au kuiba kura ni nadharia ni dhana potofu miongoni mwa wenye inferiority conflicts,

waswahili husema,
awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea :pedroP:
 
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.

Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.

Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.

Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.

Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Comred unhetuwekea Basi hata picha za mlinganisho ungeongezea hoja yako nguvu
 
Back
Top Bottom