Sugu na Aida wemeipuuza no reform no elections na kwahivyo wametangaza kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa kihistoria october2025, wamegoma kabisa kubebwa ufala wa kifikra na haki za kikatiba na huyo kibaka wa siasa za no reform no elections.Hujui uachokisema. Wewe ni chawa.
Kama mpaka Leo hujaelewa basically hata darasani ulikuwa huelewi yanayofundishwa.
Ndo maana unaaminishwa kwamba chadema wataleta EBOLA nwe unabinua kiuno kushangilia
kwani hiyo ziara ni ya kichama kweli gentleman?
mbona mobilization ya mikutano haina hadhi wala mipango ya kichama, laikini pia anaepiga kelele ni yeye mwenyewe tu, na maeneo mengi hata haeleweki kabisa?
hapo hapo wakati anagombea uenyekiti wa chadema taifa, alidai katiba ya chadema ni mbovu sana inahitaji marekebisho.Tundu hazungumzii matatizo ya watanzania yeye anachowaza anapataje madaraka, angekaa na Kinana na Nape wakamweleza operation kujivua gamba ilikibebaje chama cha CCM, angekaa na Makonda akamweleza kwanini watu walimpenda na uitikio wao kwenye matukio ulikuwa mkubwa kipindi akiwa katibu mwenezi, Angekaa na hayati Magufuli kwanini alikubalika sana hasa kwa watu ambao si watumishi wa serikali angempa darasa zuri sana. Hao watu waliweza kuzungumzia changamoto za watu zinazowakabili kwa wakati huo na kuonesha namna gani wanavyozikabili. Tundu Lissu anatumia muda mwingi kulalamika na kuonesha mapungufu ya wengine ila hatoi dira ya moja kwa moja iwapo watapewa nchi watafanya nini na vipaumbele vyao kwa Taifa ni vipi. Kwa kifupi Tundu Lissu haeleweki
Hiyo milio mnayotoa sasa ngoja tuoneUkitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.
Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.
Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.
Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.
Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu?
Mungu Ibariki Tanzania
unasubiri kuona nini tena gentleman na wakati mambo yote yako hadharani, na kwamba waTanzania wa vyama vyote vya siasa nchini wanajiandaa na kusubiri kushiriki kikamilifua uchaguzi mkuu wa kihistoria mapema octobaer mwaka huu?Hiyo milio mnayotoa sasa ngoja tuone
Sawa. Ngoja Chadema ipoteze ushawidhi ili CCM tupete na ushindi wa asilimia 💯 au nasema uongo ndugu zanguUkitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.
Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.
Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.
Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.
Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu?
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Huwezi kufanikiwa kwa kutegemea agenda za vyama vingine. Mngetakiwa kutumia muda hapa kuongelea mambo ambayo CCM imefanya. Huwezi kumchafua Lissu na ziara zake kwenye mitandao! Jamaa kashindikana kwa miaka 20 machawa msipoteze muda. Jikiteni kuongelea mambo ya maendeleo na machache uliofanya. Ripoti ya CAG na mambo ya msingi badala ya kuongelea mikutano kwa mtu ambaye hata haumuungi mkono. Uongo uongo hauwezi kuuzika nyakati hizi tunaona mikutano na ni sucess kubwa sana.
Hivi bado wanafanya mikutano? Mbn si TV RADIO na si magazeti yanarusha habari zao?Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.
Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.
Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.
Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.
Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu?
Mungu Ibariki Tanzania
hakuna suala la kungoja wala kusubiri,Sawa. Ngoja Chadema ipoteze ushawidhi ili CCM tupete na ushindi wa asilimia 💯 au nasema uongo ndugu zangu
😁😁👊💪👉👉💐💐💐💐💐💐💐💐No reform, no election period.
Sawa kada.hakuna suala la kungoja wala kusubiri,
mambo yote mbona yako hadharani?
wananchi wote nchini,
wanajiandaa kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa kihistoria october mwaka huu2025, hiyo ikimaanisha utapeli na porojo nyingine zote zimepuuzwa
Tundu hazungumzii matatizo ya watanzania yeye anachowaza anapataje madaraka, angekaa na Kinana na Nape wakamweleza operation kujivua gamba ilikibebaje chama cha CCM, angekaa na Makonda akamweleza kwanini watu walimpenda na uitikio wao kwenye matukio ulikuwa mkubwa kipindi akiwa katibu mwenezi, Angekaa na hayati Magufuli kwanini alikubalika sana hasa kwa watu ambao si watumishi wa serikali angempa darasa zuri sana. Hao watu waliweza kuzungumzia changamoto za watu zinazowakabili kwa wakati huo na kuonesha namna gani wanavyozikabili. Tundu Lissu anatumia muda mwingi kulalamika na kuonesha mapungufu ya wengine ila hatoi dira ya moja kwa moja iwapo watapewa nchi watafanya nini na vipaumbele vyao kwa Taifa ni vipi. Kwa kifupi Tundu Lissu haeleweki
Wewe ungehamia kwanza Chadema huko huonekani broUkitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.
Kubwa zaidi lililojionyesha kwa uwazi zaidi,
ni uwezo mdogo zaidi wa uongozi mpya wa chadema taifa, katika kushawisha umma na kubadili fikra na mitazamo ya wananchadema kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria wa mwaka huu 2025.
Wanachadema wamegoma kabisa kubebwa ufala, eti wasusie au kuzuia uchaguzi huo wa kihistoria nchini.
Mambo yanayohubiriwa na uongozi mpya wa chadema taifa, kwa kiasi kikubwa yamepuuzwa na wananchadema wenyewe kwakua yameonekana hayana tija wala manufaa kwao na kwenye maisha yao ya kila siku.
Mathalani,
michango ya pesa tone tone kidigitali imekwama na kupuuzwaa kwasababu hakuna ongezeko la pesa zinazochangwa tena kutokana na kutokuaminika kwa wahamasishaji, na ndio maana imekua hata ni aibu kutangaza kinachoendelea juu ya michango hiyo kwasababu ni fedheha tupu.
Pia, utapeli wa no reform no elections, umepata upinzani mkali zaidi ndani ya chadema, na sasa imekua ni mashindano ya makelele baina ya uongozi wa kitaifa dhidi ya wananchi na watia nia za uongozi maeneo mabalimbali nchini kupitia chadema huku wakiendelea kujipanga kushiriki uchaguzi huo wa october.
Kiufupi chadema inapoteza uelekeo na dira yake ya demokrasia na maendeleo, kwasababu ya uongozi butu wa kitaifa uliokosa maono.
Una maoni gani ndugu mdau wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu?
Mungu Ibariki Tanzania
Hivi bado upo mitaani? Nikajua upo MirembeNasikia posho za UWT zimetoka leo asubuhi
Gentleman,Wewe
Wewe ungehamia kwanza Chadema huko huonekani bro
Siasa ni zaidi ya udomokayaUkitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na nafasi za urais, ubunge na udiwani, kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wazi wa kihistoria Tanzania October mwaka huu 2025.