Unadhani kwanini ziara binafsi za Tundu Lisu mikoani zimepoa yaani zipo kama hazipo tu?

Muulize Wasira atakuelewesha make keshaanza kuumbuka!!

Wewe endelea kutuibia tu Watanganyika
 
Muulize Wasira atakuelewesha make keshaanza kuumbuka!!

Wewe endelea kutuibia tu Watanganyika
kwamba nawe ni miongoni mwa victims waliotapeliwa pesa kidigitali gentleman, kwenye ile tone tone?

hao vibaka na matapeli wa kisiasa hawajaridhika bado,
eti bado walitaka kuwatapeli uhuru na haki zenu za kupiga kura?

kweli hata wewe ungekubali kubebwa ufala gentleman?
 
Lizaboni
 
unasubiri kuona nini tena gentleman na wakati mambo yote yako hadharani, na kwamba waTanzania wa vyama vyote vya siasa nchini wanajiandaa na kusubiri kushiriki kikamilifua uchaguzi mkuu wa kihistoria mapema octobaer mwaka huu?
Tuone na idadi ya watakaojitokeza kupiga kura. hii mnawrza kuiba kwenye system kama siku zote
 
Tuone na idadi ya watakaojitokeza kupiga kura. hii mnawrza kuiba kwenye system kama siku zote
kuibiwa au kuiba kura ni nadharia ni dhana potofu miongoni mwa wenye inferiority conflicts,

waswahili husema,
awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea
 
Comred unhetuwekea Basi hata picha za mlinganisho ungeongezea hoja yako nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…