Unadhani kwanini ziara binafsi za Tundu Lisu mikoani zimepoa yaani zipo kama hazipo tu?

Pumba tupu
 
Wewe ndiye uliyepoteza mwelekeo wa maisha na akili ndiyo maana hauna mbele wala nyuma kazi kupigia debe matapeli. Jinga kabisa na shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
relax tu gentleman,
ukweli ndivyo ulivyo, itakubidi uzoee tu kuupokea na kuuishi
 
Pumba tupu
calm down madam,
ni muhimu sana kujifunza kuishi kaitikati ya ukweli, na kwa hakika utaishi kwa amani, uhuru na huku vilevile ukiwa hauna mihemko wala makasiriko hata wakati kama huu ukiwa huna pointi
 
Comred unhetuwekea Basi hata picha za mlinganisho ungeongezea hoja yako nguvu
picha za mikutano ni fedheha na aibu tupu gentleman,
ndio maana hata wao chadema wanatumia picha za mikutano ya2015 kipindi cha hayati lowasa
 
Mkuu Lissuphobia inakutesa!
no gentleman,
wanachadema ndio wameteswa zaidi na michango ya sijui tone tone, sijui join the chain imefanya nini n.k

baada ya mateso na utapeli wa hao vibaka wa chadema sasa wamegoma kabisa kuchangia hicho chama
 
Mkuu mikutano inaendelea kama kawaida na inajaa watu! Kampeni ya No reform no Election inaendelea kutikisa nchi.
 
Mkuu mikutano inaendelea kama kawaida na inajaa watu! Kampeni ya No reform no Election inaendelea kutikisa nchi.
Yes gentleman,
nimeona pia watangaza nia wa urasi, udiwani na ubunge kupitia Chadema wanaongezeka zaidi kuelekea uchaguz mkuu wa kihistoria huku wakiendelea kupuuza dhana potofu ya kitapeli ya huyo kibaka wa siasa wa no reform no elections,

huenda akazuia Uchaguzi pekeyake, maana familia yake iko ng'ambo 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…