Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

Hivi inawezekana majaliwa akapandishwa umakamu? Halafu akachaguliwa Waziri mkuu mwingine
 
Sitegemei kama atafanya mabadiliko makubwa kwenye serikali yake, amekuwa na Majaliwa miaka yote anamfahamu, naamini atamaliza nae muda uliobaki.
Mabadiliko lazima yatakuwepo kumbuka Mama Samia ni ccm asili achana na hii mpya iliyokuwa inasisiwa ambayo tayari simwoni mwendelezaji .
 
Majaliwa Bado anafaaa sana!!! Ila atoe hizi takataka haraka sana

1.Nchemba
2.Gwajima
3.Molleli
4.Kabudi
5.Waitara
6..

Wakuu wa wilaya na mkoa

1.Happy
2.chalamila
3.Sabaya
4.Kenani
5..
.......
 
Hauko sahihi.

Rais na Makamu Wa Rais wote kwa pamoja ndio wanaunda nafasi ya Urais. Jpm na SSH nafasi hiyo waliipata kwa pamoja. Msingi wake ni unapofanyika uchaguzi Kwenye upigaji kura kuna nafasi ya Urais ambayo inakuwa na watu wawili. Ndio maana anapofariki, mwenza wake anachukua nafasi yake, bila uchaguzi tena wala hazindui bunge tena sbb halijavunjwa. so, hakuna takwa la kisheria la kubadili nafasi ya PM, bali ni discretion yake.
 
Katiba mpya ndio mworabani tu!
Hata uweke malaika kama sheria mama haijakaa sawa tunajisumbua
 
aweza kumtoa akipenda
Namjua Rais wangu hawezi kabisa kupenda kumtoa Majaliwa Kassim Majaliwa
hivi hizi ndoto za kuwaweka watu km Silinde au Prof Mkumbo au Gwajima yaani hawa Mamluki ni hapana kabisa.
Mama namuamini kabisa ingawa Baraza ataligusa lkn sio kwa 40% najua atabalance Nchi nzima sio km kwa sasa ni Kanda moja tu
 
Mbona liko wazi mkuu , Rais Mpya anapoapishwa hawekewi masharti yoyote ya kusomba tu viongozi waliokuwepo , ndio maana hata Magufuli aliondoa asiowataka
Kama ni hivyo sasa saivi anafanya kikao na baraza lipi mawaziri kama nafasi zao inabidi ziteuliwe upya?
 
Majaliwa Bado anafaaa sana!!! Ila atoe hizi takataka haraka sana

1.Nchemba
2.Gwajima
3.Molleli
4.Kabudi
5.Waitara
6..

Wakuu wa wilaya na mkoa

1.Happy
2.chalamila
3.Sabaya
4.Kenani
5..
.......

Na Sara DC wa kigamboni
 
Kuapishwa kwa Rais mpya ambaye anaruhusiwa kuteuwa awatakao ili kumsaidia kazi , huo ndio msingi wa swali langu
Actually, asipokuja na Balaza lake itaonyesha straight away kuwa she is a weaker President. Na itamchukua muda kutake control na kutakuwa na chance kubwa kwamba 2025, hata kuwa safe ingawa wana Kale kautaratibu kao kalikomuondoa Membe kwenye kinyang'anyiro.
 
Kwanza CCM ni ile ile, pili, kwa nafasi ya Waziri Mkuu sioni akibadilisha, labda kwa baadhi ya mawaziri.

Sioni kama ana ujasiri wa kuchagua watu wapya, atajaribu kuwafurahisha tu.
 
Hivi inawezekana majaliwa akapandishwa umakamu? Halafu akachaguliwa Waziri mkuu mwingine
Wakifanya hivyo wanaweza wasipatie sana. PM anatakiwa asibadilike ili aweze kuwa link nzuri kati ya Rais na Makamu wake mpya atakayekuja. Majaliwa inabdi abaki pale pale, kwa maoni yangu mimi. Natamani sana Dk Bashiru Ally awe mmoja wa watakaopendekezwa kuwania nafasi ya VP
 
Back
Top Bottom