Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Aliyepo aendelee ametoka mbali na JPM na anajua mengi.
Naunga mkono hoja
Cheo ni dhamana tuKwani aliyepo katolewa?
Ngoja TuoneEngineer Dr Masauni
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Msingi wa swali lako ni upi?
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Mkuu hapa hakuna cha ngoja tuone. Kwa vyovyote hata akiteuliwa leo PM mpya bado atakuwa ni miongoni mwa maccm, basi hakuna kitu hapo!Ngoja Tuone
Ukiletewa jina la John Mnyika, aliyeiua Chadema kutoka kuwa na wabunge wengi na kuishia Chadema yenye wabunge wachache wa mashaka usilalamike! Ha ha haaaa!Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Ohoooo !!!Mkuu hapa hakuna cha ngoja tuone. Kwa vyovyote hata akiteuliwa leo PM mpya bado atakuwa ni miongoni mwa maccm, basi hakuna kitu hapo!
Nchi inahitaji overhaul ya ujumla, kwa sasa hata ikibidi basi kipindi cha mpito cha wale mabaka na wakaweka mambo sawa!
Kina Rawlings na Tom Sankara waliweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini?
Note; Hayo maono yamenijia ndotoni na sijajua maana yake.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Duh !Dotto Biteko anafaa uW.M.
Anaitwa nani ?Mbunge wa Nkasi
Katiba ya Tanzania ndio inavyotaka hivyo ?Jasiri wa Chadema jina nimemsahau
Huyu wa Vitenge vya Mwenge humtaki tena?Inataka mbunge wa kuchaguliwa
cc: Aida