Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Hatutaki kuja kulia tena kesho! Wazee wanaosubiri kufa wawekwe pembeni kwenye hizi nafasi!oky tumueke kuwa makamu wa rais
Hatutaki kuja kulia tena kesho! Wazee wanaosubiri kufa wawekwe pembeni kwenye hizi nafasi!oky tumueke kuwa makamu wa rais
Sahihi kabisa,Awaondoe Interahamwe wa marehemu aanze na DC wa Hai
Mara kwa Mara nimesisitiza humu kwamba viongozi wa kitaifa wawe wanatunza kauli zao wengi huweka pamba masikioni na hili siyo kwa viongozi wa kitaifa liwe hatsjkwenye ngazi ya familia ,huwa pia napenda kusema uamuzi wowote utakao ufanya maishani utawajibika nao'any decision you make in life you are responsible for it'Alidanganya.Au ushasahau.Mtu mwongo hawezi kuongoza watu ambao wanamjua kuwa alitudanganya.
Majariwa!Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Huyo hatoki, anaheshima sana kwa ma boss wakeAwaondoe Interahamwe wa marehemu aanze na DC wa Hai
Majaliwa huyu huyu aliyefanya jaribio la mapinduzi na uhaini ikishirikiana na bashiru??Sitegemei kama atafanya mabadiliko makubwa kwenye serikali yake, amekuwa na Majaliwa miaka yote anamfahamu, nadhani atamaliza nae muda uliobaki.
Siyo Mbunge, sifa ya PM lazima awe mbunge wa jimbo la uchaguziNi muda sahihi kwa Dkt. Slaa kupewa na kusimama katika nafasi hiyo
Akikujibu nishutue nipo hapa Kwa Bi nyau nakula makorodani na pronsMkuu Erythrocyte hongera kwa bandiko zuri. Hebu nikumbushe kidogo sehemu ya Katiba inayoelezea nafasi zote za uongozi kuwa wazi baada ya kuapishwa kwa raisi mpya.
Ahsante
SWALI ZURI- JIBU MTOA HOJAMkuu Erythrocyte hongera kwa bandiko zuri. Hebu nikumbushe kidogo sehemu ya Katiba inayoelezea nafasi zote za uongozi kuwa wazi baada ya kuapishwa kwa raisi mpya.
Ahsante
Kwani hawezi kumteua ubunge na kumpa uwaziri mkuu?Slaa siyo mbunge wa Kuchaguliwa jimboni
hukuona ujumbe wa TLS ?Akikujibu nishutue nipo hapa Kwa Bi nyau nakula makorodani na prons
Katiba yao inataka mbunge wa kuchaguliwa jimboniKwani hawezi kumteua ubunge na kumpa uwaziri mkuu?
Umebase sheria ipi mkuu, kipengele kipi cha katiba??? Je unajua baraza la mawaziri ni akina nani?Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Amechanganya. kawaida, nafasi hizi huwa zinazkuwa wazi pale tu inapotokea Rais ameapishwa baada ya uchaguzi Mkuu kuwa umefanyika. Nafasi hizi haziwi wazi baada ya kuapishwa Rais mpya kutokana na aliyekuwepo kuwa ametwaliwa na Bwana, hapana. Rais wa aina hii huwa anakuja kushika nafasi ya aliyekuwepo, na ambaye alikuwa ametokana na uchaguzi mkuu. Kwa hiyo katika hali hii, kuapishwa kwa mama Samia hakumaanishi kuwa Baraza la Mawaziri limevunjika kwa sababu kuvunjika kwake kungemaanisha kuvunjika kwa Bunge pia. Hata hivyo mama anayo mamlaka ya kufanya mabadiliko yoyote kwenye baraza lake kulingana na anavyoona yeye inafaa, na anayo malaka ya kuwabadilisha hata mawaziri wote ila si kuvunja baraza. Mimi hili ninaliona katika mtizamo huoMkuu Erythrocyte hongera kwa bandiko zuri. Hebu nikumbushe kidogo sehemu ya Katiba inayoelezea nafasi zote za uongozi kuwa wazi baada ya kuapishwa kwa raisi mpya.
Ahsante
Mnalishana matango pori....Mbona liko wazi mkuu , Rais Mpya anapoapishwa hawekewi masharti yoyote ya kusomba tu viongozi waliokuwepo , ndio maana hata Magufuli aliondoa asiowataka
International Exposure aliyonayo Kabudi mpaka muda huu ukianzia kwenye pilika pilika za maongezi ya makininikia, ongezea na taaluma yake kama mwanasheria, na uzoefu waka kama Profesa mbobezi, ukimuondoa mambo ya nje na kumuweka kuwa PM, inakuwa kama umemu-demote cheo ilhali unakuwa umempandisha.Ila kabudi naye anafit kwenye uwazir mkuu!!....
Wazee wastaafu naomba tuwaache wapumzike, wale maisha mwishowe tutasababisha waje kumbukizwa Covid-19 wakiwa wamesimama kwenye majukwaa ya Siasa. Huyu mzee ana mtoto wake ambaye kwa sasa ni Mbunge. Nina hisia kuwa mtoto naye lazima atakuwa amefanana kabisa na Baba. Wenye mamlaka waanze sasa kum-groom huyo kwa sababu tayari ameshaingia kwenye siasa, yaani Lowassa Jr. Wazee tuwaache wapumzike. Huu wosia wa kuwaacha wazee wapumzike siyo wangu, ni wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, JK.Mbona EN Lowassa hammtaji au mmesahau kwamba naye ni CCM kwa sasa???
Mnaonaje Lowasa akiwa VP harafu majaliwa PM.??
Hivi unajua kuwa mkubwa mwenye dharau ikitokea na wewe ukaamua kumdharau, huwa anaumia zaidi yeye kuliko wewe? Achana na mambo ya dharau, angalia kwalite ya watu katika ku-deliver kile ambacho watanzania wanakihitaji. Dharau zake, kama kweli anazo na hujambambikia, wewe zinakupunguzia nini kwenye maisha yako ya kila siku? Ya watanzania je?Lukuvi hapana... dharau zimemzidi sana...