Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,811
- 7,561
Kabisa, tena bila shaka yoyote ileSawa sawa.Lakini ni jambo ambalo inawezekana?
Kabisa, tena bila shaka yoyote ileSawa sawa.Lakini ni jambo ambalo inawezekana?
Hata mimi nimebet hivihivi..... tusubir tuoneSamia:Rais
Majaliwa:M/Rais
Jafo:W/mkuu.
Hakuna haja ya kuzingatia dini au ukanda,tunaangalia vichwa vyenye akili,vyenye maono ili kutufikisha sehemu lengwa.Hiyo miamba mitatu ni 'shufwa'
Mkuu kwanza ningeomba mwenye list ya mabarozi wetu walio nje alete hapa wenda huko Kuna majembe wanaweza kumsaidia Rais,Tz KWA ujumla kusogeza gurudum,natanguliza shukraniNimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
😆😆😆Tulia akisoni
Ni muda sahihi kwa Dkt. Slaa kupewa na kusimama katika nafasi hiyo
kumbe nao wanaingia Bungeni? yupo Bana Nigeria, Kyaruzi China nikuongezee wangapi?Mkuu kwanza ningeomba mwenye list ya mabarozi wetu walio nje alete hapa wenda huko Kuna majembe wanaweza kumsaidia Rais,Tz KWA ujumla kusogeza gurudum,natanguliza shukrani
Achana na Vijana wa CDM wakilewa wanaanza kupost post upuuzi, usibishane nao.Kwani aliyepo katolewa?
4:4:2[emoji23]Formation itarudi vile vile
Hahhaah mule mule babuu...waziri mkuu atapanda,waziri wa mambo ya nje atapanda...wengine wanabaki vile vile.4:4:2[emoji23]
Soma bandiko la TLS halafu urudi tenaAchana na Vijana wa CDM wakilewa wanaanza kupost post upuuzi, usibishane nao.
Mungu ibariki TLSMsingi wa swali lako ni upi?
liko wapi ?Kwa hiyo hilo baraza la mawaziri tulilotangaziwa anaenda kulisimamia ni baraza hewa au mfu ?
Mungu ibariki tzMungu ibariki TLS