Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

Selemani Jafo anafaa kuwa waziri mkuu.....
huyu huwa hacheki na wezi na ni mzuri katika ku control matumizi ya fedha za serekali....
ni mtu aliyefanikiwa kutekeleza lugha ya Magufuli kwa vitendo.....
Majaliwa aende umakamu raisi....
tusiangalie dini hapa tuangalie utendaji mm ni mkristu
 
TLS inaonekana wapo chaka, kufa kwa Rais si serikali kuvunjwa, mawaziri wote bado wanaendelea na nafasi zao pia PM anaendelea na nafasi yake, Samia ana uhuru wa kumbadilisha yoyote ila serikali haijavunjwa.
Hata digrii au diploma ya sheria huna
 
Majaliwa amejidhihirisha kuwa hafai kuwa kiongozi. Anaongea uwongo wa ajabu. Kwa kweli nimefuta katika kundi la watu makini.

Rais anaumwa, anatuongopeq kuwa eti yupo ofisini anachapa kazi. Hii ilikuwa dhihaka kubwa kwa mgonjwa. Na kama alikuwa akimkejeli mgonjwa.
Alitumwa akawadanganye Waumini tena siku ya ijumaa
 
Sitegemei kama atafanya mabadiliko makubwa kwenye serikali yake, amekuwa na Majaliwa miaka yote anamfahamu, nadhani atamaliza nae muda uliobaki.
Majaliwa hafai kuwa pm
Mwigulu hafai
Jaffo hafai
Asimteue polepole kwenye nafasi yoyote serikali
Asithubutu kumteua makonda kwa nafasi yoyote,

Mapendekezo yangu,
1. January makamba( makamu wa Rais)
2. Balozi Nchimbi au Lukuvi (pm)
3. Prof Assad( mkaguzi kuu was serikali)

ILI KUIRUDISHA NCHI KWENYE UMOJA
NAPENDEKEZA,
Kwakuwa bado Kuna nafasi ya Rais kuteua wabunge,
1. Freeman Mbowe( Mambo ya ndani)
2. Tundu Lissu (katiba na Sheria)
3. Zitto kabwe ( wizara ya fedha)
Wengine mtaongezea
Nimetumia haki yangu ya kikatiba
 
Polepole hujitoa ufahamu,kiongozi wa kitaifa inatakiwa atunze kauli zake hana uwezo huo
 
SIKILIZENI HII NCHI INATAKA RAISI MKALI SO MAKAMU AWE MKALI NA MWENYE IDEA KWANZA YEYE MWENYEWE ZA KUTOSHA, YAANI VISIONERY LEADER
Raisi mkali wa nn? Tayari kuna sheria yeye azisimamie tu, raisi mwenye akili ya kukuza uchumi wa nchi na umguse kila mmoja ndiye anafaa.
 
Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.

Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.

Mungu ibariki Tanzania mpya.
CCM sio kama vyama vingine mbali na katiba,kanuni miongozo na sheria pia CCM kama CCM kina tamaduni na taratibu zake.

Kama ww sio mwanafamilia hauwezi jua mambo yanayohusu familia.🤔
 
Mbona EN Lowassa hammtaji au mmesahau kwamba naye ni CCM kwa sasa???

Mnaonaje Lowasa akiwa VP harafu majaliwa PM.??
 
Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.

Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.

Mungu ibariki Tanzania mpya.
Kassim Majaliwa ataweza kumsaidia vyema mheshimiwa raisi kwa kuwa wanaijua spidi waliyotoka nayo walipokuwa na Hayati Magufuli.
 
Amueweke hata yule waziri wa Afya aliyepita kidogo kWa mbaliiiii anaeleweka.
Halafu makamu ndo a uweke Dr. Slaa
 
Nilisikiaka gwajima anafufua wafu kuna ombi nataka nimpelekee watanzania bado hatujanyaooka vizuri
 
Back
Top Bottom