kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Makamu si tumekubaliana ni kabudi profeseri ama namunagani!!
Haraka tubadili waziri wa ulinzi,naibu mambo yandani,utamaduni na michezo,naibu kazi nk. tuchanganye kanda kidogo...
But makonda lazma atapewa kakazi alimtabiria mukuu vyema,akawe hata Rc Dom babu apumzike Dom inapaswa kuchangamka kidogo!!