Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Majaliwa anajua JPM ameishia wapi , aendeleze kwa uadilifu .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Aliyepo nadhani anahitaji kukumbushwa kutunza kauli zake (anahita kupigwa msasa) 'retooling and panel beating'. also to take note that a country is not a companyNimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Na harazimishwi kuwabadiliMbona liko wazi mkuu , Rais Mpya anapoapishwa hawekewi masharti yoyote ya kusomba tu viongozi waliokuwepo , ndio maana hata Magufuli aliondoa asiowataka
Ni kweli , lakini nani unadhani anafaa ?Na harazimishwi kuwabadili
Mkuu kwa upande wangu hii syo swali bali limejijenga kwenye, Honi binafsiKuapishwa kwa Rais mpya ambaye anaruhusiwa kuteuwa awatakao ili kumsaidia kazi , huo ndio msingi wa swali langu
Hakuna Waziri Mkuu mpya, Waziri Mkuu ataendelea kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa, na kazi iliyoanzishwa na Hayati JPM lazima iendelee. Period.Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa wazi, hii haijalishi kama uliteuliwa juzi au jana na rais aliyepita, nafasi yako anaweza kupewa mwingine ili kwenda na kasi ya Rais mpya kwa kadri ya matakwa yake.
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
Mungu ibariki Tanzania mpya.
Marehemu amefanya mengi , lipi unataka liendelee ?Hakuna Waziri Mkuu mpya, Waziri Mkuu ataendelea kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa, na kazi iliyoanzishwa na Hayati JPM lazima iendelee. Period.
Stupid!Kumbe! Nilikuwa silijui hilo
Period!Marehemu amefanya mengi , lipi unataka liendelee ?
YOOOOOOTEMarehemu amefanya mengi , lipi unataka liendelee ?
hata utekaji ?YOOOOOOTE