Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

"Majaliwa ni matirio ya urais"

Sijui kingereza mnasemaje hahahaaa.
 
Hivyo basi ni vema kila mwenye maono apendekeze jina la Mbunge yeyote anayedhani aweza kuwa Waziri Mkuu wa serikali mpya , usiogope kumtaja umtakaye unayedhani anao uwezo wa kusimamia shughuli za serikali , hivi vyeo ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu kesho yule.
 
Ngoja Tuone
Mkuu hapa hakuna cha ngoja tuone. Kwa vyovyote hata akiteuliwa leo PM mpya bado atakuwa ni miongoni mwa maccm, basi hakuna kitu hapo!
Nchi inahitaji overhaul ya ujumla, kwa sasa hata ikibidi basi kipindi cha mpito cha wale mabaka na wakaweka mambo sawa!
Kina Rawlings na Tom Sankara waliweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini?

Note; Hayo maono yamenijia ndotoni na sijajua maana yake.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ukiletewa jina la John Mnyika, aliyeiua Chadema kutoka kuwa na wabunge wengi na kuishia Chadema yenye wabunge wachache wa mashaka usilalamike! Ha ha haaaa!
 
Ohoooo !!!
 
Uncle Majaliwa hawezi kutoswa maana vigezo vyote anavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…