Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?
Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?
Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?
Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?
Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?
Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?🐒
Mungu Ibariki Tanzania