Chawa mwaka huu kazi mnayo, chadema imewapa chawa maisha no chadema no chawa ccm no mlo wa sikuvibaka na matapeli wa kisiasa ambao wana mental health issues wanaifelisha chadema pakubwa na sasa angalau G55 imewapatia wanachadema pumzi na uelekeo mpya,
Sasa chadema na wanachadema waliogoma kubebwa ufala watashiriki uchaguzi mkuu wa Oct kimilifu bila mbambamba yoyote,
Gentleman,
bila mihemko wala makasiriko, tafadhali usipange kukosa kushiriki tendo hilo muhimu takatifu la kihistoria š
ikiwa huna uelewa au ufahamu wa kutosha dhidi ya hoja mahususi mezani, unakaa kimya tu na kumfuatilia kwa karibu maoni ya wadau itakusaiadia sana.Unamuuliza nani sasa wakati we ndio unatoa stori kwamba imefeli? Tunajuaje sasa?
pwagu na pwaguzi hamjui wala kuelewa chochote,Huyo ni wakuonea huruma tuu, nakushauri wewe endelea na yako ukifuata aandikacho huyo ni kutotendea haki muda wako.
Haya ndio matamanio ya kila jizi la ccm. Cdm sio chama cha wauza unga na wakwepa kodi.No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?
Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?
Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?
Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?
Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?
Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?š
Mungu Ibariki Tanzania
ww jamaa una propaganda za kindina!No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?
Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?
Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?
Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?
Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?
Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?š
Mungu Ibariki Tanzania
Asante kwa ufafanuzi chawa mwandamizi.Gentleman,
kibobevu zaidi,
hua nazungumzia mambo ya msingi tu, hayo yako ya kibinafsi ni muhimu ukayatafutia ufumbuzi binafsi š
Wahenga wakisema mambo ya ngoswe,mwachie ngoswe mwenyewe au pilipili zilizoshamba zakuwashia Nini?auFunika kombe mwanaharamu apite,Tumekuchoka na Mwashambwa!No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?
Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?
Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?
Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?
Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?
Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?š
Mungu Ibariki Tanzania
Wanadhani watu hawana Akili na mwenzie MwashambwaAsante kwa ufafanuzi chawa mwandamizi.
Naona unalazimisha uzi wako hasa wa cdm uwe na wachangiaji wengi maana unalipwa kwa wingi wa wachangiaji.in fact chadema ni chama cha vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, right gentleman?š
Nimeshauriwa nikupuuze tu, na kweli ignored!ikiwa huna uelewa au ufahamu wa kutosha dhidi ya hoja mahususi mezani, unakaa kimya tu na kumfuatilia kwa karibu maoni ya wadau itakusaiadia sana.
gentleman,
kwani wewe ulichangia kiasi gani na kwanini uliacha kuchangia tena?š
Gentleman,Wahenga wakisema mambo ya ngoswe,mwachie ngoswe mwenyewe au pilipili zilizoshamba zakuwashia Nini?auFunika kombe mwanaharamu apite,Tumekuchoka na Mwashambwa!