PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gentleman,
elezea wadau bila kupindisha hoja wala kubababika, nini kimeikwamisha kampeni ya tone tone kidigitali?🐒
Lete vielelezo vya huko kukwama,na mwisho wa hiyo tone,tone ni lini na imekwama kwa kiasi Gani na Lengo lilikuwa kiasi Gani?Tuanzie hapo Kwanza.
 
Gentlemen mbona mbna mna unafiki sana?
Mnahisi hapa duniani mtaishi milele?
Msipo watendea binadamu wenzenu haki
mtakuja kulia na kusaga meno siku moja.

Kwanza leteni hivo viwanda vikubwa 3 kila mkoa mpunguze tatizo la ajira.
Gentleman,
hebu relax kwanza na kisha u calm down kabla tuendelea kujadiliana.

Binafsi hua naandika hoja za msingi tu tu na za maana zenye maslahi mapana ya ya waTanzania.

sifahamu hiyo kitu unasema na upotoshaji mwingine,

hata hivyo,
nadhani kujikita kwenye hoja mahususi mezani ni jambo muhimu zaidi gentleman right?

na hata ukifika ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala unakaa kimya tu gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
Nina Akili kubwa na najutambua na nikongea kitu hata Mungu anaamini ya moyoni !Sio wewe masks tongue,kuna Wana CCM wakiongea unakaa kusikilizwa kama Pascal Mayala.Hoja za kushiba na zenye ukomavu wa Akili!
kwahiyo gentleman wewe una akili au mihemko na makasiriko?

hebu jieleze vizuri kwa wadau 🐒
Na
 
No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?

Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?

Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?

Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?

Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?

Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?

Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe hujui kitu. Tonetone mambo ni moto.
 
ikiwa huna mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani, una relax tu gentleman,

kumbwelambwela jukwaani mbele ya wadau ni useless na completely nonsense 🐒
We ndiyo unambwelambwela kazi kulamba miguu ya watu ili ule na bado utalamba mpaka mavi,Kubwa jinga wewe.
 
Lete vielelezo vya huko kukwama,na mwisho wa hiyo tone,tone ni lini na imekwama kwa kiasi Gani na Lengo lilikuwa kiasi Gani?Tuanzie hapo Kwanza.
hiyo swali ni nzuri sana, ya maana MNO, ni ya kumuuliza Lema directly kwasabb tone tone kidigitali imekufa kibudu mikononi mwake aikiitazama kwa macho yake ya nyama kabisa 🐒
 
Hizi Akili za Tlaahtlaah na Mwashambwa kama Kuna kumbukumbu Kwa vizazi vijavyo, nadhani mtakuja kujutia upuuzi wenu!Mnajitahidi kujenga hoja za kijinga kwa wajinga.Mungu atunusuru na kupata Akili Safi bila mawaa!
 
Lema hajaleta mada,maana yake hujafanya utafiti ni Uchawa tuu!
 
We ndiyo unambwelambwela kazi kulamba miguu ya watu ili ule na bado utalamba mpaka mavi,Kubwa jinga wewe.
Gentleman,
nangoza mjadala wa mambo ya msingi tu, makasiriko na mihemko yako binafsi ni useless na completely nonsense 🐒
 
No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?

Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?

Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?

Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?

Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?

Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?

Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?[emoji205]

Mungu Ibariki Tanzania
Hakika ww umeshacheleweshwa huwezi tena pona
 
Hizi Akili za Tlaahtlaah na Mwashambwa kama Kuna kumbukumbu Kwa vizazi vijavyo, nadhani mtakuja kujutia upuuzi wenu!Mnajitahidi kujenga hoja za kijinga kwa wajinga.Mungu atunusuru na kupata Akili Safi bila mawaa!
kibaka na tapeli wa kisasa tundu Lisu aliasisi na kuwajenga vijana kubishia na kugomea agenda za uongozi wa chama taifa,

sasa g55,
waliopata mafunzo ya ubishi kutoka kwake,wamegomea useless no reform no elections eti anawaita wasaliti, hiyo ni akili kweli gentleman?🤣
 
michango ya pesa ya dhuluma kwa wanyonge na mipombe ya utapeli ni kitu mbaya sana, huwezi fanikiwa chochote,

we check vijana walivyoamua kuanzisha g55 walivyo na nguvu, kwenye mikutano ya lisu na lema wanazungumzwa wao tu [emoji205]
Vp ushachangia mwenge????
 
vibaka na matapeli wa kisiasa ambao wana mental health issues wanaifelisha chadema pakubwa na sasa angalau G55 imewapatia wanachadema pumzi na uelekeo mpya,

Sasa chadema na wanachadema waliogoma kubebwa ufala watashiriki uchaguzi mkuu wa Oct kimilifu bila mbambamba yoyote,

Gentleman,
bila mihemko wala makasiriko, tafadhali usipange kukosa kushiriki tendo hilo muhimu takatifu la kihistoria 🐒
Hao G55 watashiriki uchaguzi kupitia ccm?
 
Back
Top Bottom