Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Chadema inawapa tumbo joto hapo Lumumba, mko kwenye viyoyozi lakini mnatiririka jasho la hofupwagu na pwaguzi mnapeana moyo kivivu sana aise dah š¤£

Tone kwa tone inanuka mashaka kuliko uaminifu. Ni hadi pale wanachama watakapofahamu nani anagharamia maisha na elimu za familia ya Lema, Lisu na Maria kuishi na kusoma huko ng'ambo. Je, tone kwa tone haitasaidia kugharamia familia za hawa watu huko ng'ambo?No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?
Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?
Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?
Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?
Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?
Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?š
Mungu Ibariki Tanzania
tupatiwe mrejesho kila wiki kujua maendeleoImekwamaje sasa wakati watu bado wanachanga..?
umeeleza mambo mazito na muhimu mno gentleman dah!Tone kwa tone inanuka mashaka kuliko uaminifu. Ni hadi pale wanachama watakapofahamu nani anagharamia maisha na elimu za familia ya Lema, Lisu na Maria kuishi na kusoma huko ng'ambo. Je, tone kwa tone haitasaidia kugharamia familia za hawa watu huko ng'ambo?
Pili, wafanyabiashara wengi wanaoipenda chadema ni wachanga na wapare, na hao wote walikuwa watiifu kwa Mbowe. Sina uhakika kama ushindi wa Lissu uliwafurahisha wafanyabiashara hao.
kama tontone yamekauka mbona kila andiko lako ni viongozi wanapiga whisk na nyma choma hueleweki we mnafafikisasa gentleman mbona umegoma kuchangia tena, mpka matone yamekauka na lema anakonda na anakosa hata pesa ya kubeti š¤£
TakatakaNo reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?
Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?
Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?
Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?
Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?
Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?š
Mungu Ibariki Tanzania
vyovyote vile no reforms no electionGentleman,
hiyo ni pesa keep kidogo ya mabwenyenye ya magharibi anayoipata kupitia ile familia yake ya kizunguš
Rejoice and be gladNo reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?
Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?
Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?
Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?
Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?
Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?š
Mungu Ibariki Tanzania
Rejoice and be glad š¤£relax, don't panic gentleman š
Wewe ni kenge huna jipyaJe, wanachadema wamechoka kuchangishwa pesa nonsense ambazo hawaelewi zinfanyia nini au wanawafundisha viongozi wao kujitegemea kiuchumi katika siasa badala ya kutegemea michango kujikimu?
Sote ni mashuhuda,
wanachadema hawachangii tena pesa ambazo hawajui zinaenda kufanya nini, na hata wahamasishaji wa michango hiyo nao wamesense hivyo na wameingiwa baridi na hawahamasishi tena watu kuchangia na hawatoi tena taarifa za michango kwasababu hakuna kilichochangwa.
Hawana hamu tena hata ya kuitisha press conference kukwepa kuulizwa kuhusu mambo hayo ya pesa ndani ya chadema.
Hakuna ruzuku, hakuna michango kidigitali wala kwenye kibakuli, will chadema survive?
Kama mdau makini wa siasa unadhani hali hii inaashiria nini kuhusu mustakabali wa uhai wa chadema kisiasa?š
Mungu Ibariki Tanzania
NIKWAMBA CHADEMA WATU WAMEANZA KUSHTUKA KUWA WANAPIGWA LEMA KIDOGO AKIMBIE WAKAMDAKAAAAAJe, wanachadema wamechoka kuchangishwa pesa nonsense ambazo hawaelewi zinfanyia nini au wanawafundisha viongozi wao kujitegemea kiuchumi katika siasa badala ya kutegemea michango kujikimu?
Sote ni mashuhuda,
wanachadema hawachangii tena pesa ambazo hawajui zinaenda kufanya nini, na hata wahamasishaji wa michango hiyo nao wamesense hivyo na wameingiwa baridi na hawahamasishi tena watu kuchangia na hawatoi tena taarifa za michango kwasababu hakuna kilichochangwa.
Hawana hamu tena hata ya kuitisha press conference kukwepa kuulizwa kuhusu mambo hayo ya pesa ndani ya chadema.
Hakuna ruzuku, hakuna michango kidigitali wala kwenye kibakuli, will chadema survive?
Kama mdau makini wa siasa unadhani hali hii inaashiria nini kuhusu mustakabali wa uhai wa chadema kisiasa?š
Mungu Ibariki Tanzania
Chadema wameshaishiwa mipango, wamebaki kutukana watu na kuhamasisha chuki.Je, wanachadema wamechoka kuchangishwa pesa nonsense ambazo hawaelewi zinfanyia nini au wanawafundisha viongozi wao kujitegemea kiuchumi katika siasa badala ya kutegemea michango kujikimu?
Sote ni mashuhuda,
wanachadema hawachangii tena pesa ambazo hawajui zinaenda kufanya nini, na hata wahamasishaji wa michango hiyo nao wamesense hivyo na wameingiwa baridi na hawahamasishi tena watu kuchangia na hawatoi tena taarifa za michango kwasababu hakuna kilichochangwa.
Hawana hamu tena hata ya kuitisha press conference kukwepa kuulizwa kuhusu mambo hayo ya pesa ndani ya chadema.
Hakuna ruzuku, hakuna michango kidigitali wala kwenye kibakuli, will chadema survive?
Kama mdau makini wa siasa unadhani hali hii inaashiria nini kuhusu mustamekabali wa uhai wa chadema kisiasa?š
Mungu Ibariki Tanzania