PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lema hajaleta mada,maana yake hujafanya utafiti ni Uchawa tuu!
Lema ndio aliekausha tone tone kidigitali,

Je,
na wewe mpaka ukaacha kuchangia pesa kwa tone tone kidigitali ni kwasababu humuamini lema kushika pesa yako?šŸ’
 
Gentleman,
hebu relax kwanza na kisha u calm down kabla tuendelea kujadiliana.

Binafsi hua naandika hoja za msingi tu tu na za maana zenye maslahi mapana ya ya waTanzania.

sifahamu hiyo kitu unasema na upotoshaji mwingine,

hata hivyo,
nadhani kujikita kwenye hoja mahususi mezani ni jambo muhimu zaidi gentleman right?

na hata ukifika ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala unakaa kimya tu gentleman na itapendeza zaidi šŸ’
Punguza unafiki
Unataka uonekane mwema kwa vijimaneno bya kutuhadaa ila wema wenyewe unakukataa.

Leteni viwanda hivo jafo si kasema serikali inaanza ujenzi soon, ila sisiem qoumalamkound sana.
 
tone hello kidogo kidogo kidigitali watu wanywe whisky na nyama choma, acheni ubahili ndrugo zango?🤣

Hawatoi, wa Tanzania ni watu wa choyo na wapenda sifa, kutoa kwa moyo kimya hawawezi toa,

Simba Leo anaenda kushenyetwa!
 
Punguza unafiki
Unataka uonekane mwema kwa vijimaneno bya kutuhadaa ila wema wenyewe unakukataa.

Leteni viwanda hivo jafo si kasema serikali inaanza ujenzi soon, ila sisiem qoumalamkound sana.
Gentleman,
mie sio mtaalamu mwandamizi wa masuala ya kisiasa mwema au mbaya,

ila nazingatia zaidi ustaarabu na ukweli. Sijisifii but mimi ni jamaa muungwana mwenye bidii, mvumilivu, mstahimilivu na mwenye subra sana.

hiyo habari na upotoshaji unaoleta sihusiki nao hata kidogo.

Nachelea kurejea msimamo wangu juu ya mijadala muhimu hapa jukwaani,
mimi hua najadili mambo ya msingi tu gentleman šŸ’
 
Hawatoi, wa Tanzania ni watu wa choyo na wapenda sifa, kutoa kwa moyo kimya hawawezi toa,

Simba Leo anaenda kushenyetwa!
gentleman,
utaharibu mjadala,
yaan unasema ati mwaka robo atashenyentwa leo?

acha utani wa kweli basi kwenye mambo ya kuzalendo gentleman,alaaašŸ’
 
Gentleman,
mie sio mtaalamu mwandamizi wa masuala ya kisiasa mwema au mbaya,

ila nazingatia zaidi ustaarabu na ukweli. Sijisifii but mimi ni jamaa muungwana mwenye bidii, mvumilivu, mstahimilivu na mwenye subra sana.

hiyo habari na upotoshaji unaoleta sihusiki nao hata kidogo.

Nachelea kurejea msimamo wangu juu ya mijadala muhimu hapa jukwaani,
mimi hua najadili mambo ya msingi tu gentleman šŸ’
Hakuna upotoshaji
Kwani hukumsikia au huwa hamfuatili hata habaro?
 
gentleman,
utaharibu mjadala,
yaan unasema ati mwaka robo atashenyentwa leo?

acha utani wa kweli basi kwenye mambo ya kuzalendo gentleman,alaaašŸ’

Nime wa support Simba mpaka niliposikia Mwamposa kawaombea, na Mimi nikaanza Ombea wafungwe tu, hawana maana,

Wamechanganya

  • Dua
  • Maombi
  • Uchawi
  • Mazindiko

Washenyentwe tu!
 
Mimi nachanga sana endelea kuumia tu kwa sababu kushajingea roho ya shetani.
sasa gentleman,
kama mtaalamu mwandamizi wa masuala ya kisiasa na utafiti naumiaje katika ukweli hata kama ukweli mchungu?🤣

wajibu wangu ni kuzungumza mambo ya msingi tu yasiyo husiana kumuumiza au kumfurahisha mdau,
ispokua kwa maslahi mapana ya Taifa šŸ’
 
Tatizo hauna hiyo fani unayosema usijidanganye ukatudanganya na sisi.
 
No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?

Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema kama ambavyo agenda nyingine za chadema za kiutopian ambazo kabisa wanachdema wameshindwa kuzielewa, kuzitetea na kuziunga mkono bali wanazipinga waziwazi kama hii nonsense ya no reform no elections?

Au ni kwasasababu haikujulikana wala kuwekwa wazi matarajio ya chama, kwamba chadema HQ ilitarajia kukusanya kiasi gani cha pesa kwa kipindi gani, na hivyo kwakua haikujulikana ni pesanga inatarajiwa kukusanywa, ndipo wanachadema wakahisi watapigwa pesa zao wakaacha kuchangia na kuipuuza?

Au ni kwasasababu front line runners wa project hiyo, kama vile lema, hawaaminiki kabisa kwa wanachadema na wananchi wachangiaji hasa kwenye masuala ya pesa na mali kulingana na historia zao mbovu katika masuala ya pesa?

Au ni kwasababu ya matumizi mabaya pesa yasio na uwazi wala mipango mikakati inayoeleweka kwa wanachadema, zaidi ya kununulia whisky na nyama choma kwa viongozi wa kitaifa?

Au wanachama wa chadema wameona hakuna haja ya kuchangia kwasababu agenda ya chama na viongozi waandamizi wa chadema ni kujitenga katika kushiriki michakato ya kidemokrasia kama vile uchaguzi mkuu, hivyo wanadhani kwamba hakuna haja wala haihitaji hata shilingi 10 kupinga tu uchaguzi, na kwahivyo hakuna haja ya kuchangia chochote?

Kama mdau muhimu wa siasa, unadhani ni sababu gani zimefelisha kampeni hii ya kidigitali katika hatua za mwanzo kabisaa my friends, ladies and gentlemen?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Achaaa uongooo

Imekwamajee akati CDM wanapokea hadi madolaa

Ukiweka bandiko hapa weka na ushaidi
 
Gentleman,
nangoza mjadala wa mambo ya msingi tu, makasiriko na mihemko yako binafsi ni useless na completely nonsense šŸ’
Huna mambo gani ya msingi zaidi ya porojo we kubwa jinga.
 
Back
Top Bottom