PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hebu onyesha nyeti za kampeni ya kitapeli ya tone tone kidigitali kwa faida ya wadau wa JF, and for sure itapendeza zaidi gentleman.

ni bei gani lema amekula mpaka sasa, na kati ya hizo ngapi ametumia kubeti na kunywea whisky na nyama choma?
chairman kawafundisha lema na Heche kitu mbaya sana, ebana hao jamaa wanapiga vyombo ni balaa 🐒🐒
Kuna SHERIA na KUNA HAKI Sasa gentleman umeingiza issues za personal kua HECHE na LEMA wanapiga vyombo Ile mbaya ulitaka kusemaje vile?!
 
Mtt wa kiume kua chawa huo ni ushogu
my lady,
as a leader,
ninaongea mambo ya msingi tu mtetezi wa hiyo haki yako unayoizungumzia ndie ameikausha tone tone kidigitali 🐒
 
Na nani amemwambia imekwama , wakati anaona kazi zinazofanyika huko Kanda ya kusini, mpaka na wao wameamua kuanza ziara za kusini baada ya kushtushwa na nyomi ya watu wanaohudhuria mikutano ya Chadema
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo kivivu sana aise dah 🤣
 
Sawa mshika hadhina inaonesha kila anaechanga uwamwanzo kupata taarifa zake.
 
Nadhani tone tone imekwama kwa sababu kuna watu wameingia kwenye mapori mbali mbali kufanya mambo flani flani ili madiwani wapite bila kufanya kampeni.
Ushahidi wa hilo ni DC mstaafu.
elezea wadau kwa kina kifup kidogo gentleman kuhusu hilo gentleman 🐒
 
We unawashwa na chadema nini,huwo muda unaopoteza kwa chadema si ni heri ukipambanie chama chako cha wezi.
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila makasiriko wala mihemko gentleman 🐒
 
Hao Chadema wametufanya nini Watanzania.Tumeacha kuongelea mambo mengine.Mambo ya Chadema yanaongelewa na kila mtu na kila kundi.
 
Mleta mada anazidi kuchzea sindano za powercef, infection ya sti imepanda kichwani.
 
wacha wale vizuri kazi yao inaonekana we endelea kudondosha udenda
michango ya pesa ya dhuluma kwa wanyonge na mipombe ya utapeli ni kitu mbaya sana, huwezi fanikiwa chochote,

we check vijana walivyoamua kuanzisha g55 walivyo na nguvu, kwenye mikutano ya lisu na lema wanazungumzwa wao tu 🐒
 
CHAWA Tlaatlaah,
Uchawa ni aina nyingine ya ujinga uliotopea, uhayawani..

Em pitia huu uzi hapa chini halafu ulete hapa mrejesho kama kampeni ya No Reforms, No Election ina mwelekeo gani...

Gentleman,
elezea wadau bila kupindisha hoja wala kubababika, nini kimeikwamisha kampeni ya tone tone kidigitali?🐒
 
Unamuuliza nani sasa wakati we ndio unatoa stori kwamba imefeli? Tunajuaje sasa?
 
Kuna SHERIA na KUNA HAKI Sasa gentleman umeingiza issues za personal kua HECHE na LEMA wanapiga vyombo Ile mbaya ulitaka kusemaje vile?!
Gentleman,
kwani ni uongo? Nadhani chadema wengi wanafahamu hilo, in fact sio siri jamaa wanapiga vyombo mbaya sana but pia wanabeti vizuri sana jambo ambalo ni haki yao but inashangaza tu as a nation, hatujazoe kuona vingozi wakifanya hayo.


Lakini pia gentleman,
si uliniambia sijui nikamate kuku nikaangalie nyeti zake sijui zimefanyaje, hiyo sio personal issue kweli,

yaani niache kujadiliana mambo ya msingi humu jukwaani nikaangalie nyeti za kuku, surely?🐒
 
Unamuuliza nani sasa wakati we ndio unatoa stori kwamba imefeli? Tunajuaje sasa?
Huyo ni wakuonea huruma tuu, nakushauri wewe endelea na yako ukifuata aandikacho huyo ni kutotendea haki muda wako.
 
Hao Chadema wametufanya nini Watanzania.Tumeacha kuongelea mambo mengine.Mambo ya Chadema yanaongelewa na kila mtu na kila kundi.
In fact ni vibaka na matapeli wa kisiasa,
ni vizuri umma wa waTanzania ukatahadharishwa ili kuewaepusha na dhuluma ya pesa zao, uhuru na haki zao za kikatiba ikiwa ni pamoja na kushiriki kikamilifu kwenye michakato ya kidemokrasia 🐒
 
Gentleman,
kwani ni uongo? Nadhani chadema wengi wanafahamu hilo, in fact sio siri jamaa wanapiga vyombo mbaya sana but pia wanabeti vizuri sana jambo ambalo ni haki yao but inashangaza tu as a nation, hatujazoe kuona vingozi wakifanya hayo.


Lakini pia gentleman,
si uliniambia sijui nikamate kuku nikaangalie nyeti zake sijui zimefanyaje, hiyo sio personal issue kweli,

yaani niache kujadiliana mambo ya msingi humu jukwaani nikaangalie nyeti za kuku, surely?🐒
Sometimes tuna taniana jokes ili ku badilisha mjadala.

Kimoyo moyo najua hata wewe lecturer unaelewa kua NO REFORMS, NO ELECTION ni Jambo zuri na Lina maslahi mapana kitaifaa hili Nina hakika nalo ☺️😃
 
Back
Top Bottom