unamaanisha kwa mara ya kwanza chama cha upinzani Tanzania kinasambaratishwa na uropokaji wa viongozi wake wa juu na kuhujumiwa na wanachama wake kwa mgomo baridi wa kukataa kuchangia tone tone kidigitali na tone tone kwenye kibakuli, right, gentleman?![]()
hivi hawa waropokaji si walikuaga na helkopta au imeharibika gentleman?Muda utasema. Ishashindikana hiyo😂😂😂😂
Au umesahau Chauma wana helicopter?😍😂😍😍
hivi hawa waropokaji si walikuaga na helkopta au imeharibika gentleman?
au hawa viongozi wapya waandamizi walikuaga wanapanda tu helkopta bila kujua wala kuelewa ilikua inapatikanaje?
ila kimoto cha kiuchmi wanakiona kwasasa aise, dah!🐒
Wewe ni hasara kwa Taifa.vibaka na matapeli wa kisiasa ambao wana mental health issues wanaifelisha chadema pakubwa na sasa angalau G55 imewapatia wanachadema pumzi na uelekeo mpya,
Sasa chadema na wanachadema waliogoma kubebwa ufala watashiriki uchaguzi mkuu wa Oct kimilifu bila mbambamba yoyote,
Gentleman,
bila mihemko wala makasiriko, tafadhali usipange kukosa kushiriki tendo hilo muhimu takatifu la kihistoria 🐒