PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Je, wanachadema wamechoka kuchangishwa pesa nonsense ambazo hawaelewi zinfanyia nini au wanawafundisha viongozi wao kujitegemea kiuchumi katika siasa badala ya kutegemea michango kujikimu?

Sote ni mashuhuda,
wanachadema hawachangii tena pesa ambazo hawajui zinaenda kufanya nini, na hata wahamasishaji wa michango hiyo nao wamesense hivyo na wameingiwa baridi na hawahamasishi tena watu kuchangia na hawatoi tena taarifa za michango kwasababu hakuna kilichochangwa.

Hawana hamu tena hata ya kuitisha press conference kukwepa kuulizwa kuhusu mambo hayo ya pesa ndani ya chadema.
Hakuna ruzuku, hakuna michango kidigitali wala kwenye kibakuli, will chadema survive?

Kama mdau makini wa siasa unadhani hali hii inaashiria nini kuhusu mustakabali wa uhai wa chadema kisiasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
No Reforms, No elections.
Imewashika pabaya sana
 
Hakuna uchaguzi, unless reforms zifanyike kwanza
reforms zilishafanyika gentleman,
huenda unaugua athari za chama chako kuzira na kususia vikao vya kikosi kazi vilivyopokea maoni ya wadau na kupendekeza mabadiliko ambayo yalipitishwa na bunge na sasa yanatekelezwa na serikali kupitia tume huru ya taifa ya uchaguzi:putinWalk:
 
Je, wanachadema wamechoka kuchangishwa pesa nonsense ambazo hawaelewi zinfanyia nini au wanawafundisha viongozi wao kujitegemea kiuchumi katika siasa badala ya kutegemea michango kujikimu?
au kuna mtu tegemezi asiebebeka wanamkomoa apale chadema?

Inaashiria kwamba wewe ni mjinga. Hujitambui. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine
 
Reforms zipi? Hiyo ni tume ya CCM sio tume huru ya uchaguzi. Na kwa nini mnaogopa hivyo kucheza game fair, mnahisi mnaweza msifikishe hata kura 10 sio? Maana mmekataliwa kama vile mnanuka mavi
 
No Reforms, No elections.
Imewashika pabaya sana
Gentleman,
nadhani wewe ndio umebebwa ufala wa kifikra kilofa sana na vibaka na matapeli wa kisiasa, kudhulumiwa pesa, uhuru na haki zako za kikatiba na kung'ang'ana na jambo lisilo na faida kabisa kwako na kwa familia yako:putinWalk:
 
reforms zilishafanyika gentleman,
huenda unaugua athari za chama chako kuzira na kususia vikao vya kikosi kazi vilivyopokea maoni ya wadau na kupendekeza mabadiliko ambayo yalipitishwa na bunge na sasa yanatekelezwa na serikali kupitia tume huru ya taifa ya uchaguzi:putinWalk:
Wewe ni kiazi mbatata
 
Inaashiria kwamba wewe ni mjinga. Hujitambui. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine
Gentleman,
changia tu hoja bila mihemko au kuropoka hata kama tayari umeshatapeliwa pesa vya kutosha na hao vibaka wa siasa kwa kuchangia kidigitali au kwenye kibakuli. Ndio ujifunze kua makini na matapeli wa kisiasa:putinWalk:
 
Gentleman,
nadhani wewe ndio umebebwa ufala wa kifikra kilofa sana na vibaka na matapeli wa kisiasa, kudhulumiwa pesa, uhuru na haki zako za kikatiba na kung'ang'ana na jambo lisilo na faida kabisa kwako na kwa familia yako:putinWalk:
Jambo lililo na faida kwetu sisi wananchi ni kuchagua viongozi tunaowataka kwa uhuru na haki, sio anashinda huyu halafu tume inatangaza mwingine, huo ndo ufala ambao tumekataa.
 
Nimekuona Leo igunga umechezea konde Moja la mdomo mpaka umetema meno kiherehere kwisha No reform No election
 
Je, wanachadema wamechoka kuchangishwa pesa nonsense ambazo hawaelewi zinfanyia nini au wanawafundisha viongozi wao kujitegemea kiuchumi katika siasa badala ya kutegemea michango kujikimu?
au kuna mtu tegemezi asiebebeka wanamkomoa apale chadema?

Sote ni mashuhuda,
wanachadema hawachangii tena pesa ambazo hawajui zinaenda kufanya nini, na hata wahamasishaji wa michango hiyo nao wamesense hivyo na wameingiwa baridi na hawahamasishi tena watu kuchangia na hawatoi tena taarifa za michango kwasababu hakuna kilichochangwa.

Hawana hamu tena hata ya kuitisha press conference kukwepa kuulizwa kuhusu mambo hayo ya pesa ndani ya chadema.
Hakuna ruzuku, hakuna michango kidigitali wala kwenye kibakuli, will chadema survive?

Kama mdau makini wa siasa unadhani hali hii inaashiria nini kuhusu mustakabali wa uhai wa chadema kisiasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Hakuna mgomo baridi

Ila chadema ni chama cha watu maskini watu ambao hawana ela, hawana ruzuku, hawana udhamini

So unachokiona ndio hali halisi

Chadema sio kama nyie bwana

Kiongozi wenu wa mkoa anaweza kununua kiwanja kwa bilion 2 just a kiwanja

Mnajenga jengo la mabilion ya hela,

Nyie ni matajiri kwa ela za maskini
 
Reforms zipi? Hiyo ni tume ya CCM sio tume huru ya uchaguzi. Na kwa nini mnaogopa hivyo kucheza game fair, mnahisi mnaweza msifikishe hata kura 10 sio? Maana mmekataliwa kama vile mnanuka mavi
uoga wako ndio umaskini wako gentleman,
na ndio maana mihemko imekuganda mno na haikuachii.

athari za kususa ndivyo zilivyo,
nimeshakueleza kwamba reforms zilishafanyika na uchaguzi unakwenda kufanyika kukiwa na reforms bila kujali mayowe wala mihemko yako mwezi October mwaka huu2025.

hata hivyo,
ni kwanini manafanya mgomo baridi hamtaki tena kuichangia chadema kidigitali na kwenye kibakuli mikitanoni?
mana mkomoa nani pale chadema?:putinWalk:
 
Je, wanachadema wamechoka kuchangishwa pesa nonsense ambazo hawaelewi zinfanyia nini au wanawafundisha viongozi wao kujitegemea kiuchumi katika siasa badala ya kutegemea michango kujikimu?
au kuna mtu tegemezi asiebebeka wanamkomoa apale chadema?

Sote ni mashuhuda,
wanachadema hawachangii tena pesa ambazo hawajui zinaenda kufanya nini, na hata wahamasishaji wa michango hiyo nao wamesense hivyo na wameingiwa baridi na hawahamasishi tena watu kuchangia na hawatoi tena taarifa za michango kwasababu hakuna kilichochangwa.

Hawana hamu tena hata ya kuitisha press conference kukwepa kuulizwa kuhusu mambo hayo ya pesa ndani ya chadema.
Hakuna ruzuku, hakuna michango kidigitali wala kwenye kibakuli, will chadema survive?

Kama mdau makini wa siasa unadhani hali hii inaashiria nini kuhusu mustakabali wa uhai wa chadema kisiasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
NONSENSE!!
 
Aisee kumbe Kanisa la Gwajima halijafungwa bana. Sasa itakuwaje?! Ile furaha ya big show si itaingia shubiri?
 
Back
Top Bottom