West Yard
Senior Member
- Nov 6, 2022
- 110
- 149
AiseeeJe, wanachadema wamechoka kuchangishwa pesa nonsense ambazo hawaelewi zinfanyia nini au wanawafundisha viongozi wao kujitegemea kiuchumi katika siasa badala ya kutegemea michango kujikimu?
au kuna mtu tegemezi asiebebeka wanamkomoa apale chadema?
Sote ni mashuhuda,
wanachadema hawachangii tena pesa ambazo hawajui zinaenda kufanya nini, na hata wahamasishaji wa michango hiyo nao wamesense hivyo na wameingiwa baridi na hawahamasishi tena watu kuchangia na hawatoi tena taarifa za michango kwasababu hakuna kilichochangwa.
Hawana hamu tena hata ya kuitisha press conference kukwepa kuulizwa kuhusu mambo hayo ya pesa ndani ya chadema.
Hakuna ruzuku, hakuna michango kidigitali wala kwenye kibakuli, will chadema survive?
Kama mdau makini wa siasa unadhani hali hii inaashiria nini kuhusu mustakabali wa uhai wa chadema kisiasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania