Unadhani ni kwanini kufuzu kwa Yanga SC kumewaumiza sana SIMBA SC kiasi kwamba wanaropoka kila mara kupitia vyombo vya habari

Jamaa yangu unaandikaga pumba sana sjui kwanini?hivi kwanini lkn?
 
Simba lazima waumie kwasababu walikua wanasema kua Yanga hawezi kutoboa CAFCL kwasababu kule hakuna Malumo gallants wala Rivers united.

Ila cha Kushangaza Yule Asec ambaye mwaka jana alitoka hatua ya robo fainali CAFCC ndiye ameongoza kundi lao ambaye yupo yeye na shoga yake Wydad.
 
Hapa lazima wapige kimya!!
 
Ndio maana Manara alisemga hamna AKILI, pumbav.
 
Yanga ndiyo wameumia sana Simba kuingia robo fainali hadi mwanachama kazimia uwanjani, hapo anasindikizwa na gongowazi wenzake
Yanga ndiyo wameumia sana Simba kufuzu kucheza robo fainali hadi washabiki wao kuzimia baada ya Simba kuwasulubu wale wageni wao pendwa walio wakirimu na kuwapa mbinu za kuifunga Simba. Hapa shabiki wa yanga akisindikizwa na gongowazi wenzake
 

Attachments

  • VID-20240303-WA0016.mp4
    1.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…