Thread 'Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"' Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
Dah! Nimecheka sana mkuu.Shetani akulambe kalio moja
Amani na hakiNi kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu naona unamaumivu makubwa kwa ndani ila ukweli ndo huo.Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
TakatakaNi kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
Maelezo yapi unayolenga? FafanuaNi kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
Labda wewe ndo umeyapuuza, heche kaeleza vizuri sana, no reform no electionNi kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
gentleman,Thread 'Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"' Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
Nimependa jinso heche alivyoyajibu maswali ya waandishi wa habari....Huo ni mtazamo wako, wanachadema tupo fresh kabisa na tunamuelewa kiongozi wetu, wewe huelewi kwasababu hayakuhusu
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye ballot paper?
Au wanachadema wamechoshwa na porojo, stori na uropokaji wa pata potea wa viongozi wao wa kitaifa, ambao wamekipotezea chama chao chadema uhai na uelekeo katika siasa za Tanzania?
Mungu Ibariki Tanzania
Wamempuuzi kuhusu nn mkuu? Heche kusimamia msimamo wa chama na sio vinginevyogentleman,
ni muhimu sana tukajikita kwanza kujua kiini hasa cha wananchadema kumpuuza heche na maelezo yake, mengine tutajadili baadae