1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
labda uwanyooshe washirikina gentleman![]()
Hao hao maana watawala wengi tunaowaona Kwamsisi wakizindikwa majini. Hasa wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi ili wapate uteuzi .
Hivi unadhani watawala ni watu wema bila kuwadhibiti.
Watawala wananunua Landicruser hata elfu mbili zenye thamani ya kununua Ambulace elfu 50 nchi nzima. au kununua Dialisiss machine mia mia tatu .Wanaacha watu wafe kwa kukosa huduma ya matibabu ya figo wakati wao wakikosa ufahari hawafai. Wanabadilisha starehe zao na uhai wa wananchi halafu uchaguzi ukifika wanawaambia kwa dharau hata mkipiga kura kule kwingine atakayetangazwa ni mgombea wa CCM. Huu ndio uhamasishaji wa uhaini na uasi dhidi ya mshindi halali wa urais